Ukiwa na tatizo la ndani kabisa la ndoa, je utalileta JF tulijadili?

"Tatizo la ndani kabisa" hebu toa mfano kwanza.Inawezekana unaloona la "ndani" mwenzio anaona la "nje" so mtatofautiana tu hapa na unaweza usipate jibu unalotarajia!
 
siku hizi hamna siri. Yale mambo yaliyokuwa yakifanywa chumbani zamani, siku hizi yanafanywa Kinondoni makaburini.
 
Frankly speaking inategemea na swala lenyewe pia nitaleta ili kupata advice kwani hapa kuna watu wengi wenye ujuzi tofauti waliopitia mengi.
Na hii ni kwa sababu hatifahamiani hata hivyo wengine bado sana hadi kuoa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hizi thread za matatizo ya ndoa zilizojaa hapa MMU ni za uongo au kuna 'matatizo makubwa' zaidi ya haya tunayoyasoma daily?
 
huonagi watu wanasema' msaada pliz', 'kuna ndugu yangu', jana nanimekutana na kisa hiki,' 'tumchukulie yule kaka ni(john)na dada ni h(halima) 'hawa ni ndugu zangu ,oh jirani zangu ,mara nyingi visa vinavyoletwa MMU ni vya wahusika sasa inategemea na tatizo lenyewe kama binadamu anakuwa akiona aibu,pengine watamtusi anaamua kujiweka kivuli.anybody can prove me wrong!! ni wachacha sana husema ukweli kama paulss kwenye ile thread ya amemtwikamdada mimba na amemzalia mapacha.
 
mimi naamini kwenye kuyajadili matatizo yetu sisi wawili, ufumbuzi utapatikana hapo.
labda kama unaleta hapa kama stori tu.
ila kuna watu wanaamini kwenye ku-share matatizo yao na watu, so hata hapa ni poa tu wakiyaleta
 
siku hizi hamna siri. Yale mambo yaliyokuwa yakifanywa chumbani zamani, siku hizi yanafanywa Kinondoni makaburini.

Mkuu mbona unaharibu upepo, mpe ushauri mzuri jamaa yetu, yawezekana ana tatizo linalo msumbua ktk mahusiano.
 
Inategemea na undani wa tatizo.
lakini pia matatizo ya ndani hufaa kumalizwa ndani, maana wahusika ni ninyi wawili.

Mara nyingi unapoleta tatizo humu au pengine popote unapeleka your side of story na hivyo ushauri utakaopewa utaelemea kwenye side yako zaidi. Hivyo waweza kushindwa kutatua tatizo hilo, lkn mkiwa wote wawili na kila mtu anatoa version yake na jinsi anavyojisikia (of course kama kuna uwazi) mwaweza kutatua vizuri zaidi kuliko kuleta humu version yako wakati mwenzio hapati nafasi ya kutoa yake pia.
 
"Tatizo la ndani kabisa" hebu toa mfano kwanza.Inawezekana unaloona la "ndani" mwenzio anaona la "nje" so mtatofautiana tu hapa na unaweza usipate jibu unalotarajia!

mfano mke wake siku hizi hampi vizuri na yeye nguvu zimemuisha na anahisi mke wake anagongwa nje
 
Mi nitaliletaje FASTA!!! Unafiki pembeni, kiukweli JF iITS THE ONLY PLACE WATU WANAKUPA BLACK AND WHITE!!!! HAPENDWI MTU!!!! Hahahaaaaaaa! Sometimes nivizuri kuangalia tatizo from many peoples POINT OF VIEW sababu your point of view/ PERSPECTIVE inaweza kuwa BIASED!!!! Ukileta hapa ndo unapata PICHA KAMILI!!! Isitoshe KICHWA CHAKO KIMOJA SI SAWA NA 1000 PEOPLE OF JF!!!!!! Kubwa kuliko sometimes WE FEAR TO TELL THE TRUTH COZ HATUJUI TUTAPATA RESPONSE GANI!!! Sasa hapa ndo pazuri pa kutestia zali as long as no body knows you, no body cares!! Ukitolewa mkuku hapa, jua huko uendako its WORSE!!! AU NIGHTMARE KABISAAA! Ujue kuna vitu unaweza kumfungukia mtu afu ukaja kujuia haswaa kama unamjua n you cant erase those facts kutoka kichwa ya huyo mutu, so unabaki kujutia! ILA HUMU YOU CAN CRY US A RIVER AND YOUR SECRET IS SAFE WITH US!!!!!:lol: Hahahaaaaaaa! Unaweza kufa kwa sumu za rohoni kisaaaa! LOL!
 
Back
Top Bottom