Ukiwa na stree fungua jf tu (ccm na cdm) mipashoni

JikeDume

Member
May 19, 2011
70
8
Ukiwa na stress ingia humu tu, utacheka mpaka upone hiyo stress, yaani ni mipasho tu, hahahahahaaaaaaaaaaaaa, kila hoja inayowekwa hata kama inadai majibu ya hoja, hutayaona, bali utakutana na matusi hahahaaahaaaa.

Chadema na ccm mko fit sana kwa kutoleana matusi kumbe hili lipo wazi tu.........ccm imewakosea watz sana, ila watu wa cdm mlitakiwa muonyeshe uwezo wenu wa kuvunja hoja mnazoziita chakavu kwa hoja pia sio matusi, ccm mlitakiwa mkitoe cdm kasoro kwa kupima ukweli sio kutukana tu eti kachukua mke wa mtu.

Naombeni mwendelee kuwatibu watu mawazo ya roho zao, jana niligombana na mwenza wangu, nikawa na hasira sana, ila baada ya kuingia humu, nilikutana na vituko vya kimataifa nikacheka....nikawa relieved.
 
user-offline.png
JikeDume

Today 11:30 AM
#1
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 19th May 2011
Posts : 55
Rep Power : 21


Mkuu Boflo hajambo lakn? amepotea sana anga hizi, lol!!
 
Back
Top Bottom