Ukiwa muwazi nipo ajili yako!

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Salaam JF!
Ninaweka wazi ninayopendezwa nayo. Ninao marafiki wakike/wakiume. Tumeweza kuwezeshana katika mambo mbali mbali ya kila siku...ili kufikia malengo yetu. Naiweka wazi nafasi hii kwa yeyote ani PM.
 
Husninyo unanshitua hivyo!
PM haitangazwi!
Nipo kwenu sasa nkutafutie wapi?
 
jamani heshima mbele! Mwenzenu ameweka maelezo yake vzuri apewe heshima ya makusudio yake.
Yaan humu JF inabidi uzibe pua/masikio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom