Ukiwa Mnafiki Utafaidi sana CCM

Jana kwenye mkutano wa CHADEMA hapa mkoani Iringa, Mchungaji Peter Msigwa alisema ili uwe mwana CCM lazima uwe na sifa zifuatazo:-

1. Uwe mnafiki

2. Uwe fisadi

3. Uwe mwongo

4. Uwe unaweza kujipendekeza

5. Uwe huna aibu

Yeye alizisema 5 nyingine waliziongezea wananchi kama, ushirikina, umalaya na wizi, walizitaja kwa sauti....

ni kweli kabisa,hizi ndio sifa za wana ccm,
 
Ule usemi wa samwali sitta kuwa msigwa ni mhuni wa kawaida tu na wala siyo mchungaji sasa nauamini kwa asilimia zote kweli hana sifa za kuwa mchungaji.
 
ule usemi wa samwali sitta kuwa msigwa ni mhuni wa kawaida tu na wala siyo mchungaji sasa nauamini kwa asilimia zote kweli hana sifa za kuwa mchungaji.
kama wachungaji ni wahuni kwanini kila siku haishi kujipendekeza makanisani
 
ni kweli hizi ni sifa za mwanasiasa yeyote je msigwa yeye ni nani?
Jana kwenye mkutano wa CHADEMA hapa mkoani Iringa, Mchungaji Peter Msigwa alisema ili uwe mwana CCM lazima uwe na sifa zifuatazo:-

1. Uwe mnafiki

2. Uwe fisadi

3. Uwe mwongo

4. Uwe unaweza kujipendekeza

5. Uwe huna aibu

Yeye alizisema 5 nyingine waliziongezea wananchi kama, ushirikina, umalaya na wizi, walizitaja kwa sauti....
 
Msigwa tangu atoe ile hotuba yake ya UDAKU jamii inamuona kama mwehu tu...

Yes, kwa jamii ya wana CCM na wapambe wao!!. Ukweli ni kwamba jamii inamuona shujaa - THE HERO kwa kuuvaa ujasiri wa kumsema hadharani pasipo kificho Katibu Mkuu wa Chama Cha Mjambazi - CCM Bwana Abdulhaman Kinana kuwa ni mmoja wa majangili wakubwa wanaomaliza tembo wetu!!..Na huyu eti ndiye mtendaji mkuu wa chama ambacho kinaongoza serikali, chama ambacho SERA na MIPANGO yake inatekelezwa na serikali katika nchi!!....Hebu fikiri hiyo serikali itakuwa ya namna gani?.....

Ni wazi kuwa, itakuwa serikali ya wezi,wanafiki,majangili na kila aina ya uchafu!!....Kwa CCM kusema ukweli kama huu kama alivyofanya Msigwa kuitwa mwehu ni asubuhi tu kwa sababu moja tu YOU ARE AGAINST THEM, AGAINST THEIR CORRUPT POLICY AND PLANS!!!

So, I agree 100% with Rev Msigwa, kwamba, ili kuwa mwanaCCM au hata kuwa shabiki wa CCM tu, lazima kwanza akili zako ziwe si sawa, uwe mnafiki na mwongo mwanzo mwisho...Na ni lazima uwe mtu mwenye tamaa ya mafanikio ya harakaharaka kwa kutumia njia batili,za haramu!!...AMINI au USIAMINI huo ndiyo ukweli...!!!
 
Jana kwenye mkutano wa CHADEMA hapa mkoani Iringa, Mchungaji Peter Msigwa alisema ili uwe mwana CCM lazima uwe na sifa zifuatazo:- 1. Uwe mnafiki 2. Uwe fisadi 3. Uwe mwongo 4. Uwe unaweza kujipendekeza 5. Uwe huna aibu Yeye alizisema 5 nyingine waliziongezea wananchi kama, ushirikina, umalaya na wizi, walizitaja kwa sauti....

uwe na uwezo wa kuwatia mimba wabunge wa kuteuliwa eg kutoka Arusha na kuwapeleka Dubai katika maotel ya kifahali
 
Jana kwenye mkutano wa CHADEMA hapa mkoani Iringa, Mchungaji Peter Msigwa alisema ili uwe mwana CCM lazima uwe na sifa zifuatazo:-

1. Uwe mnafiki

2. Uwe fisadi

3. Uwe mwongo

4. Uwe unaweza kujipendekeza

5. Uwe huna aibu

Yeye alizisema 5 nyingine waliziongezea wananchi kama, ushirikina, umalaya na wizi, walizitaja kwa sauti....
......Kwa mawazo yangu....... ninamuheshimu sana mh Msigwa........Kama ni kweli........nadhani amekosea........tunategemea mambo ya maana zaidi kutoka kwake....kama mbunge.........ya aina hii awaachie wengine......tufike mahali tuachane na siasa za aina hii zisizo na kichwa wala miguu hasa kwa waheshimiwa.......
 
Msigwa yupo sawa kabisa,Mwana chama wa Chadema lazima uwe mtakatifu kwani kuna Padri Slaa kila siku anafanyia wanachama wapya sala ya toba!
 
Back
Top Bottom