ukiwa handsome kila mtu anakutamani

hivi hatuwezi andaa shughuli ya kumkaribisha kijana MZURI?

Kwangu kuna nafasi, na mchele ninao wa kutosha.
Tunapika pilau, tunaleta na kungwi amcheze

hongera kwa uzuri.. Kama vipi ongezea na vi make ups (powder, lips shine and etc) uwamalize vizuri...
 
hivi hatuwezi andaa shughuli ya kumkaribisha kijana MZURI?

Kwangu kuna nafasi, na mchele ninao wa kutosha.
Tunapika pilau, tunaleta na kungwi amcheze

hilo nalo neno... Kijana mzuri anahitaji mafunzo mazito.. Nitaleta na kanga za kumtunza. Kungwi ajitolee jamani..
 
husyn kwa ajili ya maujanja ya kulea bwana
ADI busara, Lizzy uaminifu na message, kongosho raha ya umbea bila msuto, king'asti stimu ya bangi chumbani, RussianRoulette kufuata sheria usije ukala ban chumbani

mc mj1 na AD

Ungejua mie ndo fundi wa kulea bwana hata usingesema! Siachiki mie, toka bf wa kwanza hadi wa sasa wa tisa woote nnao na nnawamaintain!
Afu bhange nimeacha, nimegundua ni dhambi!
husyn kwa ajili ya maujanja ya kulea bwana
ADI busara, Lizzy uaminifu na message, kongosho raha ya umbea bila msuto, king'asti stimu ya bangi chumbani, RussianRoulette kufuata sheria usije ukala ban chumbani

mc mj1 na AD
 
husyn kwa ajili ya maujanja ya kulea bwana
ADI busara, Lizzy uaminifu na message, kongosho raha ya umbea bila msuto, king'asti stimu ya bangi chumbani, RussianRoulette kufuata sheria usije ukala ban chumbani

mc mj1 na AD

hapo akishindwa ye basi tena...
 
Kuna kauogonjwa ka kutoweza pambanua appearance kameibuka sana siku hizi......Wavulana warembo (The beautiful ones) eti wanajiita au wanaitwa ma-handsome....Damn.
 
husyn kwa ajili ya maujanja ya kulea bwana
ADI busara, Lizzy uaminifu na message, kongosho raha ya umbea bila msuto, king'asti stimu ya bangi chumbani, RussianRoulette kufuata sheria usije ukala ban chumbani

mc mj1 na AD

Hivi hizo kazi hua zinalipa?
 
kashata itabidi Lizzy alete
amyner utamfunda mambo ya kibwebwe na mapozi kwa bwana.

mwenyewe kakimbia anaona mambo makubwa uzuri kazi babuuu... Kijana anahitaji kujua pozi na nyakati zake...

@king'asti mabwana tisa una wamaintain vipi shosti? Bhange and other factors remaining constant.
 
Haaaaaaa cholo nadhani umesahau maneno ya wahenga,ngoja nikukumbushe kwamba "mwanamme asifiwi sura!! Mwanamme Kazi"
 
Siku ya kumfunda cholo kama nikipewa kipindi uchukue notes kabisaa! Uje na daftari la mistari mikubwa na kalamu za rangi za mafuta.

Back
Top Bottom