Ukiwa c.c.m unapata discounts?

Tsetse

Member
Feb 22, 2010
11
1
I have been puzzled for so long with these 'wakereketwa'. Vilio kila mahali kuhusu hali ngumu ya uchumi na mbaya zaidi 'kila kukicha afadhari ya jana' lakini hawa 'wakereketwa' hawataki kukubali hili. Je, ni ujinga? Je, ni kukata tamaa na chama 'chao' kwamba hawawezi kurekebisha hiyo hali? au ukiwa 'mkereketwa' mathalani una kadi ya CCM ukienda dukani/supermarket au shuleni au chuoni unapata discount ya bei?
Watu wanapaza sauti zao, hali ngumu ya uchumi, wao wanashangilia matusi, kebehi, nyodo, dharau, kauli za kibabe za M/kiti wao....wamerogwa?
Kama pesa za kutuboreshea mishahara hamna, maisha wanayoishi Political figures ifanane na hiyo hali halisi.
 
Tatizo wale wote walioalikwa wengi wao sio waajiriwa wanategemea posho toka chama chao kama jana nadhani walipewa posho ya kushangilia ambayo natumai hata leo hii hawana tena. Kibaya zaidi wanashangalia hata amabapo hapastahili, mtu anasema siongezi mshahara wao wanashangalia hawana habari kwamba alipoingia madarakani sukari ilikuwa 750.00 leo 1800.00 bado unashangilia kuwa mshahara hautabadilika.
Lakini naona mwisho wa ujima wa CCM uko karibu, mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom