Ukiua katika ajali faini laki saba tu!

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
Katika hali ya kushangaza mahakama imetoa hukumu kuwa mzee wa vya vijisenti alipe faini ya laki saba baada ya kukutwa na hatia ikiwemo kugonga,kuua na kuendesha gari bila Bima. Wakati flani nilisoma uzi hapa jf ukasema mzee Vijisenti huwa anapitia hukumu yake na kuiedit ili ikasomwe alivokuwa anataka. Maneno haya yanaweza kuaminika maana baada ya kudaiwa laki7,kwa sababu mama alijulishwa kabla mama aliandaa iyo 'posho', mama vijisenti alikabidhi vihela na kupanda 'luxury car' na kuondoka! Bajaji iliyogongwa,bila kujali nguo na viatu vya waliokufa si chini mil.2 ila faini ni lak7 ambayo pia ni mali ya Jamhuri! Mwenye ela atazidi kufanya atakavo katika jamii yetu. Mi nasema sikuridhika! WanaJF nisaidie maana Mahakama imenikoroga! Kutokana na kesi hii mahakama za chini nchini Tanzania zinaweza kutumia njia ya "stare decisis" na kesi zifuatazo kama hizi zipate hukumu inayofanana na hapo matajiri watatutoa roho barabarani wakijua tamati ya hukumu. Ee mola niepushe dhidi ya mabwanyenye na mafisadi wa kitanzania!
 
Aahhh safi sna nanunua greda kuwagonga maadui zangu wote kumbe laki 7 tuuu:whoo::whoo::whoo:kwa vichwa 2
 
Nyie mmekosea hapo juu, Laki 7 ni kama gari haina insurance. Kwa kuua tu ni 250,000. Huenda hii ndio sababu ya wale madereva kutumaliza.
 
Maria nakwambia sasa uamue mwenyewe kututoa roho sie kapuku au kutusamehe. Kilichopo nikiona mtu anakuja kwa kasi,nkaona ana sura ya kifisadi,narukia kwenye mtaro wa maji taka ,labda unifuate uko! Hamna jinsi ya kuwakimbia wauaji maana naona mkigonga mtakuwa mnafungua wallet na kutoa lak7 na kuagiza aliye sehemu ya tukio azipeleke mahakamani. Kazi ipo!
 
yaani ukiwa na bifu na mtu, we longa na dereva tu....maana utampoza kiasi kadhaa baada ya kutimiza lengo lako. hii ni kama wewe mwenyewe unaona kinyaa mara uonapo damu...pole kwa wafiwa, ukiwa na hela kila kitu hata hiyo sheria inakuwa mfukoni mwako.
 
Nyie mmekosea hapo juu, Laki 7 ni kama gari haina insurance. Kwa kuua tu ni 250,000. Huenda hii ndio sababu ya wale madereva kutumaliza.

kweli mkuu? Ndo maana ajali zinaongezeka! Yan sheria zetu ni kama nchi ya kusadikika!
 
Ndio maana sekta ya sheria hapa Tanzania imeoza kabisa, yaani ni ujuha ful mziki, hukumu inapangwa sio kwa kufuata sheria ama kosa bali ulichonacho, ukishapatikana na hatia inatakia ufungwe, utoe faini ama vyote viwili hilo ni maamuzi ya mahakama ( court discreation)
Lakini pia hilo suala la chenge ingebidi afungwe mana yeye ni mwanasheria na mtumishi wa umma kutokuwa na bima inatosha kuishawishi mahakama imfunge ili iwe funzo lakini je mahakama zipi?!! hizi hizi zenye mahakimu njaa waliopewa nafasi za ujomba aah ujinga tu!!!
 
Nyie mmekosea hapo juu, Laki 7 ni kama gari haina insurance. Kwa kuua tu ni 250,000. Huenda hii ndio sababu ya wale madereva kutumaliza.

Mkuu inaelekea umewahi kuua. Mbona unazijua sana hizo figure?
 
Hakimu alisema.... Natoa adhabu hii iwe fundisho kwa wale wanaotumia magari yao vibaya waendelee kutoangalia usalama wa walala hoi wasio na magari.... Je mwenye bajaj amelipwa nini... na wafiwa? Sasa sheria zetu hizi ni kichekesho kabisa.....
Shit
 
Nitakatiza kwenye msafara wa JK then nigonge gari yake head to head collision then tuone, we subiri tu.
Laki 7 ninayo
 
yaani ukiwa na bifu na mtu, we longa na dereva tu....maana utampoza kiasi kadhaa baada ya kutimiza lengo lako. hii ni kama wewe mwenyewe unaona kinyaa mara uonapo damu...pole kwa wafiwa, ukiwa na hela kila kitu hata hiyo sheria inakuwa mfukoni mwako.

sasa tutalindwa na nani sie maskini?au tusiingie barabari?
 
Ndio maana sekta ya sheria hapa Tanzania imeoza kabisa, yaani ni ujuha ful mziki, hukumu inapangwa sio kwa kufuata sheria ama kosa bali ulichonacho, ukishapatikana na hatia inatakia ufungwe, utoe faini ama vyote viwili hilo ni maamuzi ya mahakama ( court discreation)
Lakini pia hilo suala la chenge ingebidi afungwe mana yeye ni mwanasheria na mtumishi wa umma kutokuwa na bima inatosha kuishawishi mahakama imfunge ili iwe funzo lakini je mahakama zipi?!! hizi hizi zenye mahakimu njaa waliopewa nafasi za ujomba aah ujinga tu!!!

somoche sasa tufanyeje? Hapa wameamua kumtupa jongoo na mti wake. Sasa unadhani wafiwa wanajisikiaje! Bora enzi za mkoloni,leo mwanasheria hana bima lakini inaonekana kawaida tu!ajabu!
 
Nitakatiza kwenye msafara wa JK then nigonge gari yake head to head collision then tuone, we subiri tu.
Laki 7 ninayo

tz sheria si msumeno,sie tumeshika makali wao mpini! Hapa unapewa kesi ya uhaini mkuu! Hapa watagoma hawaitaki lak7 watadai kwa ilo wanataka ukaishi segerea milele. Hawa watu wajanja wajanja!
 
tz sheria si msumeno,sie tumeshika makali wao mpini! Hapa unapewa kesi ya uhaini mkuu! Hapa watagoma hawaitaki lak7 watadai kwa ilo wanataka ukaishi segerea milele. Hawa watu wajanja wajanja!

ndio kusema double standard sio?
 
Hakimu alisema.... Natoa adhabu hii iwe fundisho kwa wale wanaotumia magari yao vibaya waendelee kutoangalia usalama wa walala hoi wasio na magari.... Je mwenye bajaj amelipwa nini... na wafiwa? Sasa sheria zetu hizi ni kichekesho kabisa.....
Shit

unanitoa machozi. Ila kwa wafiwa hawapati chochote,bora wa Ditopile Ukiwaona Mzuzule walipelekwa na govt.kuhiji. Hawa wanatoka kapa kwani mzee vijisent alishtakiwa na JMT,wafiwa na jamaa ni mashahidi tu. Faini itakuwa revenue ya govt.ya mkwere ambaye ni mshikaji wa vsenti. What goes around,goes around and later comes around. Mkwere atavuta waya na kumwambia vsenti,soo limeisha njoo uchukue lak7 zako,namwachia mlinzi getini hapa,mi nasafiri Hongkong kesho asubuhi.
 
Back
Top Bottom