Ukitumiwa email uka-foward bila mpango waweza kuingia matatani...

Mkuu naomba uni PM hiyo site ya ZE UTAMU,mie siijui.

Google Ze Utamu + "Jamii Forums", Utapata kila kitu. Site ilikuwa balaa tupu, watu tuliogopa kupigwa picha kwani wangewza ichakachua halafu wanaiweka humo. Ukikosana na mtu kidogo anaklimbilia kwenye neti kukuumiza! Hasa akina dada walionewa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom