chanawalleti
Member
- Jul 16, 2016
- 49
- 44
kumbe utaniNani mjinga sasa? Hivi huoni mazungumzo hayo ni utani tu?
kumbe utaniNani mjinga sasa? Hivi huoni mazungumzo hayo ni utani tu?
Utani tu wa kikubwa tu.kumbe utani
Katika maisha yangu sitokuja kumshauri mtu aliepima ukimwi akaambiwa anao atumie Arv.kufanya ivyo ni kama kushiriki mauaji ya moja kwa moja ya mhusika.
hivi mkuu unapata faida gani unavyopotosha uma si bora tuu ukae kimia watu kama nyie wafaa mpigwe mawe mpaka mfeHii thread ni sumu sana,wanadanganyana sana lakini wenyewe hawajijui.Eti wanapeana moyo kwa kushauriana jinsi ya kuishi kwa kunywa sumu inayokuua taratibu.Sasa wanaulizana,"eti ukinywa hii sumu inaweza kukuua baada ya muda gani"?Halafu wengine wanajibu,"aah mbona kuna wengine wanahimili madhara yake kwa zaidi ya miaka 30".
He he heeee ujinga bwana!!
Huyu jamaa ni shiiida!!! Tafadhali endeleeni kuamini kuwa VVU vipo.Hii thread ni sumu sana,wanadanganyana sana lakini wenyewe hawajijui.Eti wanapeana moyo kwa kushauriana jinsi ya kuishi kwa kunywa sumu inayokuua taratibu.Sasa wanaulizana,"eti ukinywa hii sumu inaweza kukuua baada ya muda gani"?Halafu wengine wanajibu,"aah mbona kuna wengine wanahimili madhara yake kwa zaidi ya miaka 30".
He he heeee ujinga bwana!!
hivi mkuu unapata faida gani unavyopotosha uma si bora tuu ukae kimia watu kama nyie wafaa mpigwe mawe mpaka mfe
Huyu jamaa ni shiiida!!! Tafadhali endeleeni kuamini kuwa VVU vipo.
watu wanaishi adi miaka 40 huyu decpection analeta siasa kwenye mambo ya msingi bhana ni wa kumpuuza watu watumie dawa jamani zinasaidia sananawafahamu watu Zaidi wa wanne;
mama wa kwanza tokea aanze kutumia hizo dawa ni Zaidi ya miaka ishirini sasa imepita;
mama mwingine naye ni Zaidi ya miaka 13 imepita;
wale watoto 2 nawafahamu mmoja yuko form four mwingine form one;
wote hao wako vizuri; tena huwezi hata kuwafikiria kama wanatumia dawa;
wakati Fulani nilienda hosp moja kubwa hapa nchini nikaenda kitengo cha waathirika
nilikaa tu kwenye benchi kama mgonjwa kwa Zaidi ya masaa matatu; niliona maajabu
watu wanaokuja kuchukua dawa hauwezi kuamini kama ni wagonjwa;
nilijifunza kitu kuwa kupata virusi siyo mwisho wa maisha; pia inatakiwa kufuata
masharti ya daktari.
Nimetoka kupoteza ndugu yangu kizembe sana na haya madawa.najiona mkosaji sana.madhara ya izi dawa yasikie kwa jirani tu.zinaweza kukua ndani ya mwezi tu kama afya sio stable sna.siku nikiwa vizuri nitatoa ushuhuda humu ndani.Ukishajua ukweli huu ndipo utakapojua kwamba wewe na wengine mnaounga mkono suala hili ndio mlitakiwa mfutwe kwenye uso wa dunia.Lakini sasa hivi sikulaumu wewe bali nalaumu ujinga wako...sina kinyongo na wewe bali niko tayari siku zote kukufundisha pale utakapohitaji.
Maelezo mazuri sana kiongozi.Ushaur wa kitaalam
1) idadi ya kawaida ya cd4 ni kuanzia around 600 had 1200micromil/l
2.swala la miaka na matumiz ya arvs linategemea na mambo mengi (in general ni ur lyfe style, kama unatumia arvs vizur, unakula chakula bora , unafanya zoez vizru, na unaepuka kufanya unaprotected sex, jnaoata muda wa kupumzika. .unaweza ishi maisha malefu tuu as a normal person
3) unapoanza ku2mia arvs hua kuna maudhi madogomadogo (side effects) ambazo most pple wanazipata for the 1st 2 weeks then wanakua poa, but kama zikiendelea unaweza badilishiwa dawa
ASANTE
Izi ndio lugha zenu adi mgonjwa akikata roho utaskia mapenzi ya mungu!!!mtu anaanzishiwa dozi bila ya kupima afya yake kujua damu ikoje,ini,figo,moyo!!yaaan very sad!!tena uko kubadilishiwa dawa ndio kbisaa .mnafanya majaribio kwenye maisha ya watu!!Ushaur wa kitaalam
1) idadi ya kawaida ya cd4 ni kuanzia around 600 had 1200micromil/l
2.swala la miaka na matumiz ya arvs linategemea na mambo mengi (in general ni ur lyfe style, kama unatumia arvs vizur, unakula chakula bora , unafanya zoez vizru, na unaepuka kufanya unaprotected sex, jnaoata muda wa kupumzika. .unaweza ishi maisha malefu tuu as a normal person
3) unapoanza ku2mia arvs hua kuna maudhi madogomadogo (side effects) ambazo most pple wanazipata for the 1st 2 weeks then wanakua poa, but kama zikiendelea unaweza badilishiwa dawa
ASANTE
Basi watalaamu wote wa afya watakua wanaumwa magonjwa wanayotibia, kwa inamaanisha anaejua tatizo na tiba yake ni mgonjwa, kweli tunatofautiana uelewa. Unadhani forums hii ni ya mambumbu tupu, aina watu phani zao, kama unaelewa hivyo pole sana, kwa taarifa yako hapa kuna wataalamu wa fani mbalimbali pia wako hapa majukwa mbalimbali ya forums hii.Mnaonekana mna uzoefu mkubwa wa kutumia hizo dozi.
Kwa hapa sio ulimi mkuu ni vidole, hasa dole gumba,ulimi hauusiki kabisaanti ukibishana na mjinga na ww unaweza kuonekana mjinga unajua malipo ni hapa hapa duniani ndiyo maana wanasema hakuna ajuae kesho ata mtunzi wa kalenda wengi wanadhani vvu hutokea kwa ngono but unaweza usifanye ngono ukaupata tuu mungu mwache aitwe mungu tuu tuwe na akiba ya maneno ulimi ni kiungo kidogo ila kinawwza msababishia mtu matatizo na kukufuru kwa mungu
Tuombe mungu atuepushe. Na kwa waliopatwa atupe moyo kutumaini na kutokata tamaa.Kwa hapa sio ulimi mkuu ni vidole, hasa dole gumba,ulimi hauusiki kabisa
Utamshauri afanye nini zaidi ya kutumia dawa?Katika maisha yangu sitokuja kumshauri mtu aliepima ukimwi akaambiwa anao atumie Arv.kufanya ivyo ni kama kushiriki mauaji ya moja kwa moja ya mhusika.