Ukitaka Sredi yako Iwe na wachangiaji wengii Wengi

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Anzisha hiyo sredi Some minutes after Lunch Times, kwenye Forum ya MMU halafu iwe inamgusa au inamuongelea Member maarufu wa MMU.

Kuna anayebisha hapa?
 
Anzisha hiyo sredi Some minutes after Lunch Times, kwenye Forum ya MMU halafu iwe inamgusa au inamuongelea Member maarufu wa MMU.

Kuna anayebisha hapa?

Baby...mimi wala sibishi. Unachosema ni kweli kabisa. Ukiweka neno "Lizzy" kwenye kichwa cha mada lazima tu itashika kasi.
 
Dadito Huo ndio ukweli. Wengi ndio wanatoka Lunch, Unajua Chips mayai zinaleta ka usingizi na mood ya kazi inakua haipo

Dayuuum....I love it when you call me Dadito. Btw, what did you have for lunch today?
 
285587_224280750941126_100000776075386_556463_2312589_n.jpg
 
duu huku mi sipo kabisa maana lile jukwaa lazima kila maada ikutachi na isipokutachi basi kuna mtu wa karibu ina muhusu..
 
Back
Top Bottom