Ukitaka kwenda likizo, harusini, sikukuu nyumbani kwenu unapanda bus la kampuni gani

NIlitakiwa nisafiri na BIJAMPORA kwenda OMU Bukoba unfortunately wametuchakachuwa....Bojooo jamani!!!
 
Wakwe na wazazi wangu naonana nao kila siku. hakuna safari hapa:dance::dance::dance::A S 103::A S 103:
 
nawaonea donge,sijawahi kusafiri mkoani,bibi babu,mama,baba familia yote ipo Dar japo kuwa ni asili ya tanga(nilikuwa namuona mama tu akienda tanga kwenye misiba), na nimezaliwa katikati ya jiji la kariakoo.nilikuwa nasononeka sana kila ifika mwezi wa 12 wenzangu wanaenda na wazazi wao mikoani.
Nimesafiri sana basi ujue nimepanda kipanya kwenda manzese kumtembelea cousin wangu,au mbagala kwa mama mkubwa.

Afadhali sasahivi nina maisha yangu,na mimi huwa napanda ndege kuja kutembea bongo. Ila still nahisi safari za mikoani zina raha yake.
 
Nachukua Air Tongoi kwa raha zangu mpaka kijijini au Black Nyau....yawezekana kuna wadau wengi humu wananiunga mkono...Bila kusahau,Umba river na Mbaruku nikitaka kubadili hewa...Lol!
 
Enzi zile nilipokuwa Kyela nilikuwa natumia basi la mwamedi (Mohammed) mbele kichwa cha bedford nyuma bodi la basi toka kyela saa 11 alfajiri kufika Chimala saa 2 usiku, mkifika mlimani mnatelemka na kutembea kwa miguu basi linapanda mlima likiwa tupu! Mkifika kituo cha basi dereva (owner wa gari) anakuja kukusanya nauli kwa abiria na kuweka kwenye mkoba wenye mkanda unaovaliwa shingoni. akimaliza safari inaanza.
Nilipokuwa Usangu nilitumia mabasi ya Kukile, Mkufwana mkungeta na Suleiman Roadways
 
MKM yaani mbuzi kala mkeka ,kitu Lindi Dar hicho kitu cha TATA Kilikuwa UDA enzi hizo jamaa akalinunua akalipiga rangi nyuma akalichora MKM yaani kifupi cha mbuzi kala mkeka linakimbia balaa humo ndani mixer abiria kuku,bata kama yale mabasi ya Mexico
 
nawaonea donge,sijawahi kusafiri mkoani,bibi babu,mama,baba familia yote ipo Dar japo kuwa ni asili ya tanga(nilikuwa namuona mama tu akienda tanga kwenye misiba), na nimezaliwa katikati ya jiji la kariakoo.nilikuwa nasononeka sana kila ifika mwezi wa 12 wenzangu wanaenda na wazazi wao mikoani.
Nimesafiri sana basi ujue nimepanda kipanya kwenda manzese kumtembelea cousin wangu,au mbagala kwa mama mkubwa.

Afadhali sasahivi nina maisha yangu,na mimi huwa napanda ndege kuja kutembea bongo. Ila still nahisi safari za mikoani zina raha yake.
Mkuu siku iz k'ndon, temeke na ilala ni mikoa kwa mujibu wa utawala wa igp, ukipanda kipanya kutoka karume hadi magomen umesafir kutoka mkoa m1 kwenda mwingine!
 
Kwetu border ya wajanja[Tunduma],napendelea Hood bus service{if you can't join them beat them},Hekima,Ilasi,Sumry,Ottawa,TAQWA[mfalme tunu,pedeshee tunu,zee sana jora moja tu].Haya ukweni Songea ni kitu cha Super Feo au Sumry.Ooops!nilitaka nisahau kwa babu na bibi Mwanza,hapo ni Allys bus service[machoni kama watu au mikiki mikiki daily].
 
Baiskeli tu inanitosha, nikienda mjini ni landrover 109. Kama natoka nje ya mkoa ni Sumry!
 
Mi kwetu bukoba vijijini, yaan allyz sports bus from ubungo to moro,dodoma,singida,tabora,shinyanga,kagera kupitia bwanga,chato kizilamuyaga,muleba,muutwe,RWAMISHENYI up to Bukoba.ukifika mwekunduuu kwa vumbi.then napanda hiace Rubale-izimbya.bitoke kwa kwenda mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom