- Thread starter
- #41
Nipe ratiba ya Taarabu nikajibahatishie Wa kiarabu.Mh na wewe, unajidai una chaguaa, basi tembelea kwenye kumbi za taarabu mara kwa mara utapata libongisa lako lika kubemende.

Mbona post inajieleza?ndio tena ikiwzekana niende kwa wazazi wake.sasa unatafuta mwanamke au?