Ukitaka kuniteka nipe Mwanamke mwenye sifa hizi.

na ukimpata ujue vyote ni temporary tu-vitaisha. maziwa atanyonyesha yataanguka,umbo atazaaa litaharibika sura itapoteza mvuto as days goes by kutokana na age.....and so does mapenzi yatakufa,hatukushangai saana haya ndio mapenzi ya dotcom yalivyo!....yamebase kny artificial things!
 
inategemea na age yako...

kuna umri ukifika umuhimu wa mtu
unategemeana zaidi na inside ya mtu alivyo kuliko outside
afterall kuna kuzeeka,achilia mbali ajali na magonjwa....

umewahi jiuliza why kuna watu wanaoa walemavu???????????

Mweleze Boss!
kuna watu humu busara ni nil!

Watu kutwa kutafuta perfection... ungewaambia wajiweke wazi tuwachambue hapa pangekuwa hapatoshi maana mishangao na miguno ingeshamiri. Wanataka malaika wakati wao shetani kasingiziwa kwa ubaya wa roho na kila kitu....
 
Kumbuka mungu hakupi vyote na wewe pia utakuwa na matatizo ,mapenzi bwana ni kitu tofauti unaweza mpenda mtu ,macho tu au midomo pekee ,au vile anavyotembea ,akicheka, akiwa anaongea nk nk mie wangu nilimpendea rangi nyeusi ya kiafrica:pray2:


Uliyoyasema ni kweli kabisa, wakati mwingine ni vitu vichache sana vinavyokufanya mtu akuvutie. FL1 Ni aje hiyo avatar yako mpya!? Hatari tupu!!! Sijakwambia uiondoe lakini hahahahahaa baada ya ile ya kwanza kabisa ambayo ilipata umaarufu mkubwa hapa jamvini hii nayo nimeipenda.

 
Nenda kwa wa china kariakoo ukatoe oda wakutengenezee,just waeleze tu unatakaje utapata.
 
Preta mbona ana hizo sifa si u PM mtafute mzungumze sema tatizo preta hapendi watu wa Mara;
 
1-Awe mzuri wa sura
2-Mwelewa
3-Umbo No8
4-Awe mweupe kiasi
Sasa hapo kwenye umbo ngoja nipakazie kidogo kuna wanawake flani wana kua wameumbika bwana unakuta chuchu mwiba,ukishuka maeneo ya kiuno c kikubwa sana but akivaa nguo iliyomshika anaonekana vyema,hips kidogo,awe na vinyweleo vingi tena akiwa na gardenlove ndo kanimaliza kabisa.

utakuja kudondokea pua sku moja kwa hio changudoa likwa na hii misifa wewe twende tu
 
Nenda kwa wa china kariakoo ukatoe oda wakutengenezee,just waeleze tu unatakaje utapata.
La ki chi nchu huu haa hapana mi napenda nature awe wa kipare,Mzaramo,Msukuma,wachaga,ila acwe Mnyilamba na wale wa musoma hapana coz wanakeketwa.But mwarabu,Mhindi,Somaria nk pia ruksa
 
kokudo; awe wa kipare,Mzaramo,Msukuma,wachaga,ila acwe Mnyilamba na wale wa musoma hapana coz wanakeketwa.But mwarabu,Mhindi,Somaria nk pia ruksa[/QUOTE]Mmmh hapo kwenye Waarabu,Wahindi Umenitachiii hivi wana ladha gani?watamu eeee
 
Preta mbona ana hizo sifa si u PM mtafute mzungumze sema tatizo preta hapendi watu wa Mara;

Mura tuko hapa kaaraabashi tuna kura kimoro, mh preta wawatu si mshauri asije akafyekwa maskio bure, vibaki vitundu tu, upepo unapita tu.
 
La ki chi nchu huu haa hapana mi napenda nature awe wa kipare,Mzaramo,Msukuma,wachaga,ila acwe Mnyilamba na wale wa musoma hapana coz wanakeketwa.But mwarabu,Mhindi,Somaria nk pia ruksa

Mh na wewe, unajidai una chaguaa, basi tembelea kwenye kumbi za taarabu mara kwa mara utapata libongisa lako lika kubemende.
 
Hata malaika wanamapungufu yako kaka..

omba mungu utapewa wakwako tu na si wa mwingine..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom