Ukitaka kumtongoza mwanamke wa kijapani......

nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
184
Wajapani sio wabaguzi kama wachina. Na kwa wale wanaoishi au walioishi japani au waliooa wajapani wanaweza kuthibitisha hilo. Wengi wetu ktk kutembea na wanawake tofauti na wa kwetu yaani wabongo ni kutafuta exotic, sijui kwa kiswahili nini ila.
Kama na wewe unamtaka mwanamke wa kijapani; katika mazungumzo yenu, kama atakuuliza kama ulikuwa au unae girlfriend au wife, nakushauri umwambie ulikuwa nae na ulikuwa na wanawake wengi na bado unae girl friend mpaka kipindi hicho. Kama ukijidai ile ya kibongo bongo kudanganya kuwa sina na sikuwa na girl friend na kwamba wewe ndio wa kwanza, basi ujue hiyo ndio itakuwa siku yako ya mwisho kumwona na hata pokea simu yako kama utampigia
sasa logic ilioko ni kwamba, kama huna mwanamke au hukua na mwanamke basi anakuona wewe mwanamme unamatatizo. Sasa kwa nini yeye atembee na kitu ambacho hakivutii. Maana wengine wote wamekukataa sasa kwa nini yeye abebe mzigo. Na kama una girlfriend na hasa kama amekuona nae basi itaakuwa kwako rahisina umejitengenezea cv yako ya kwenda kumtongoza huyo mwanamke kiurahisi kwa sababu anahisi mpaka rafiki msichana mwingine katembea nae basi huyu jamaa ni bomba ana jali na anauzooefu na wanawake. hiyo ni kweli jamani
 
estonia wapo rahisi sana pale tallin....yaani kama kumsukum mlevi hivi...hawlafu wao mtu yeyete mweusi wanajua ni mmarekani mweusi na anatokea amerika
 
Too general mkuu,naamini siyo wanawake wote wa kijapani wako hivi unavyosimulia.Halafu suala la kukutana na demu on first date jibaba unasema hujawahi kuwa na demu before,mbona karibu mademu wa races zote inaweza kuwashtua tuu?Hata demu wa kibongo anaweza akakushangaa na akakumwaga vilevile!
 
majina yao ndo kiboko, yanaonesha kabisaa kuwa ni ngono oriented, check haya;
1. inamoto
2.kumamoto
3.kushikuma
 
Back
Top Bottom