Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

Hehe eti asiombe vocha!! sasa kama binti mwenyewe wa college ataomba gari??
wa college tena? sasa sisi wengine ung'enge mbona haupandii tutawezana na hao vipi?
anyway cha msingi ujue mwanamke akikuomba vocha basi na mwanaume anamchukulia level hiyo,lakini ukikuta mwanamke ana kwake,nje kapaki rav4,sebuleni flat screen mwanaume unadhani utamhonga vocha huyo au yeye atakuomba vocha?
 
Big Up Byshernger,
Naomba nichukue notisi
nikaelimishe darasa langu.

Umesahau moja, Usimtie makofi buzi, atakasirika siku 2.
arrrrrrooooo we kweli mimba inakusumbua.
Lizzy hajambo?
 
Naomba usije kuiapply kwangu maana hata kibanda changu kule Salasala nitashindwa kukimalizia...
acha woga kamanda,sufuria haiogopi moto,Daughter we mwingie tu mkielewana mambo ya kumalizia kibanda salasala baadae,mtoto afurahi kwanza.
 
Chonde chonde....

Mi niko busy nafuikuzia hiki kifaa cha magogoni.... nikikamata hiki najua ntaambulia japo ukuu wa mkoa. Hapo sasa ndo ntaweza kuchunwa na kina Sweetlady.....


S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0


S0298/0025FMWANAASHA JAKAYA KIKWETE27IVCIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F

we ni noma, au majina yamefanana tu ? duh kajitahidi na hiyo IV mana hapo cheti anapata kuliko angetaga yai
 
mmh?hali ilivobana kwa sasa bidada anaweza akajituma weee lakini ikifika kwenye kipengele cha ruzuku wazee kama sisi wazoefu huwa tunakula kona shaaaaaa,,,enzi za hapendwi mtu linapendwa pochi ilishapitaga kwa sasa hakunaga kivileee
 
Kinamama,mabuzi yako kibao mjini ila dada zangu sa ingine mnayakosea.Ukitaka kuyachuna kisawasawa hebu fuata mwongozo huu:
1.Target: Mwindaji mzuri hutambua swala aliyenona kabla hajarusha mshale.Hakikisha unayem target anazo na pia awe mtoaji.
2.6x6: Ashakum si matusi..'ukitaka kuchuna buzi na kut........bana ujue...it is that simple.
3.Usafi: kuwa msafi saa zote,mwilini na nyumbani,weka investment katika hili,italipa,fanya shopping za ukweli,saluni za ukweli.
4.Omba omba: Hata siku moja buzi lako usiliombe vocha,utajishushia thamani yako kwake,target mambo makubwa.
5.Mapishi:Usipende kula bar na bwanako.M encourage ale nyumbani kwako na umpikie a la uzi wa Ashadii to Cheusimangala.
6.Zawadi: Sio unapokea tuuuuuu unapokea,siku moja moja m surprise na ka zawadi (hasa intimate),ataku value zaidi.
7.Kujipendekeza:Jipendekeze kwa wadogo zake wa kiume,watalinda mahusiano yenu,wa kike kaa nao mbali!
8.Kununa: Kuwa full mnafiki,hata akuudhi vipi jitie hamnazo,nyumbani anuniwe na kwako?
9.Mkewe: Kwa usalama wako hakikisha unamfahamu lakini keep distance,vinginevyo vitabumbuluka na utaachwa.
10.Mashost: Marufuku buzi lako kuzoeana na mashost zako,atawalamba,hasa wakionea gere matunzo yake kwako.
11.Kuridhika:Usiwe too demanding, utam put off,jua ni muda gani muafaka wa kumwomba hela na ni wakati gani anazo.
12.Miradi:Usikurupuke,siku ukimwomba akuanzishie mradi hakikisha ni mradi kweli kweli wa kukutoa.
13.Kalumanzila: Never!achana na uchawi,utapoteza bure tu hela yako na indeed akigundua atakupiga chini fasta.

HITIMISHO
Buzi lenyewe kama ni la ukweli kama Bishanga ukienda nalo vizuri kwa kuzingatia misingi hii,uongo kama angalau utaambulia kama sio ka three bedroom house Bunju basi itakuwa apartment Masaki.
Nawatakia maandalizi mema ya valentino!

Ta Bishanga MMMMHHHHH kweli wee mkali..Sasa madada wa JF somo tayari tunawatakia mwaka mwema wa mafanikio kutoka mlipo mpaka kuhamia Bunju au Masaki.
 
Chonde chonde....

Mi niko busy nafuikuzia hiki kifaa cha magogoni.... nikikamata hiki najua ntaambulia japo ukuu wa mkoa. Hapo sasa ndo ntaweza kuchunwa na kina Sweetlady.....


S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0


S0298/0025
F
MWANAASHA JAKAYA KIKWETE
27
IV
CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F


Hata ziro (0) nayo ni maksi
 
Asante sana kwa huo mwongozo, ngoja nianze kuchukua tizi kufuatana na muongozo huo. :lol:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom