Ukitaka kujua upendo wa dhati leo hii............

Happy Valentine kwa siyo na wapenzi, you welcome to be my valentine :laugh::laugh:
 
Ahhh najiamini sana tu....sema washkaji wapo na watazidi kuwepo!!Nampa afurahie kama vile yeye ndo ameandikiwa na simu apokee!!:coffee:

Yaani wale wa zamani wakiomba mechi ya kirafiki wanapewa na uwanja.............?
 
WanaJF,

Napenda kutoa angalizo kidogo, ukitaka kufahamu upendo wa kweli usipokee zawadi yoyote kutoka kwa mpenzi wako we mwambie mbadilishane simu siku ya leo yaani tarehe 14.02.2011. Utajua mpo wangapi na nafasi yako ipo wapi.

Tahadhari.

Agalia usije ukazimia au kunywa sumu kwa simu zitakazopigwa na meseji zitakazoingia.

Halafu ukute rafiki yako ndiyo anananihii sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom