ukitaka kujua umechaguliwa TCU au la soma hapa

SITAKI Maswali MENGI
1055569383_7254689907.jpg

Ha ha aha aha aha umetisha mkuu:shetani:
 
mna haraka ya nini? Leo mnatamani kuingia vyuoni, kesho mnaanza harakati za kudai meals and accomodation allowances. Ni vema mkaacha jazba ya kudahiiwa. By the way, unaweza kudahiliwa na tcu ukapangiwa chuo, lakini chuo wakakutosa. Haya tuliyashuhudia 2006/2007
duuu cas haijaanza kipindi hcho bro 2010/2011
 
Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye applicaionn 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.Ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.Baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.Mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.
Angalizo:Application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni.

Mkuu nimefungua saa hizi kwenye profile yangu hakuna application 2nd round option, nimecheki saa hizi saa 2:14pm

Hebu fafanua kidogo
 
Mkuu nimefungua saa hizi kwenye profile yangu hakuna application 2nd round option, nimecheki saa hizi saa 2:14pm

Hebu fafanua kidogo

TCU wamegundua kuwa tayari G THINKERS kuna kitu wamepata taarifa imeishavuja.Wajanja tayari tumeishashusha presure kilichobaki ni chuo gani tumepelekwa.TANZANIA NI ZAIDI UIJUAVYO
 
Back
Top Bottom