dereva atakuambia ongeza speed
mwanasiasa atakwambia kesho itakuwa zaidi ya leo
hachelewi kukwambia nondo imepinda.Ukifanya na ENGINEER?
natumia ibara ya 89..nataka haki yangu....nakupa dk 1 uwe ushaandaa mazingira ya ktanda na mwili wako..