Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki tena haya ndiyo majibu yao

1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo

SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JIONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!

nimecheka mpaka basi dah! mbona ni wasichana tu kwani wavulana wa chuo nao hawana vibweka vyao?
 
1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo

SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JIONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!
Thru experience nimeiona hiyo sana na kunitokea ukiona hivyo ww kula kona kwani hapo huna chako.
 
buku tano anakula kwako ama hgirlwa wengine??sikuhizi ukibagain mshahara buku 30 unamwambia ntakuongezea 10-15 yako sasa anaipataje ndio naona hako kamchezo ndio mnakatumia san sana anyway kazi ipo
HG wa jirani kaka, mbona iko wazi? tunaongezea kwene hiyo buku 30 halafu tunapunguza uzito.
 
...nilitegemea mdada wa chuo kikuu awe ni wife material ya ukweli...
lakini hakuna ***** kama hao watu,...
mm wakwangu alikua ananiambia:niko library nipigie baadae(kwa sauti ya kunong'oneza...u know wat i mean) kumbe yuko kifuani kwa kibeberu...pumbafu!!

pole kaka!ndio kukomazwa huko!bila shaka sasa upo imara sana nothing will shake you!si ndio mkuu?
 
Mabinti wa chuo in most cases wako strange... mara nyingi wako na wanaume ambao image zao zinauza mbele ya jamii ya wanachuo. Na hakukubai kwa kubahatisha, ni vigezo viingi aangalia. Na kama kakukubali then ndio anaanza kutoa hivo vigezo sio kwamba anakua hakutaki tena... Lah! ila tu ina maana zile expections alikua akitegemea kuzipata kwako iwe boom yako yoote/great sex/outings/provision ya videsa ama lolote; inakua kwamba umeshindwa hio nafasi alio kupachika. Take note; yule ambae ni mstaarabu na hasa alikukubali kwa sababu ya hisia juu yako ni nadra atatumia hio mistari kukupotezea.... at least that is what I think....

Wengi huwa hawana mahusiano ni kupoteana muda tu, mi niliachwa nadent wa IFM kwa vigezo vya kipuuzi aisee
 
hiyo ndio dawa mkikaribia kumaliza chuo unampotezea.

Nyie ndo mnaotukosesha wengine wake wa kuoa. Hivi ukishafanya hivyo, huyo demu atakuja kumuamini kidume mwingine kweli pindi utakapomtosa? Aisee bora umshawishi kwa vingine sio hiyo gia ya pete, unamtia mkosi mtoto wa watu aisee!
 
we mkal.!!! Yamekukuta nn mkuu..
Jibu hilo hapo chini...siyo lazima niwe mimi
...nilitegemea mdada wa chuo kikuu awe ni wife material ya ukweli...
lakini hakuna ***** kama hao watu,...
mm wakwangu alikua ananiambia:niko library nipigie baadae(kwa sauti ya kunong'oneza...u know wat i mean) kumbe yuko kifuani kwa kibeberu...pumbafu!!
 
1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo
9. Nipo library dia ntakutafuta baadaye(kwa sauti ya chini)
SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JIONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!

Ukiona umejibiwa majibu ya namba 2,6,7,8,JUA HUNA CHAKO HAPO!
 
1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo
9. Nipo library dia ntakutafuta baadaye(kwa sauti ya chini)
SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JIONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!

u said it all. FACT..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom