Ukitaka kujua msichana wa chuo hakutaki tena haya ndiyo majibu yao

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,127
27,062
1. Baby tutaongea baadae naingia lecture
2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae
5.Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6.Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho hny hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo
9. Nipo library dia ntakutafuta baadaye(kwa sauti ya chini)
SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JIONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!
 
Mabinti wa chuo in most cases wako strange... mara nyingi wako na wanaume ambao image zao zinauza mbele ya jamii ya wanachuo. Na hakukubai kwa kubahatisha, ni vigezo viingi aangalia. Na kama kakukubali then ndio anaanza kutoa hivo vigezo sio kwamba anakua hakutaki tena... Lah! ila tu ina maana zile expections alikua akitegemea kuzipata kwako iwe boom yako yoote/great sex/outings/provision ya videsa ama lolote; inakua kwamba umeshindwa hio nafasi alio kupachika. Take note; yule ambae ni mstaarabu na hasa alikukubali kwa sababu ya hisia juu yako ni nadra atatumia hio mistari kukupotezea.... at least that is what I think....
 
Pole mkuu.Hivi vibinti vya chuo vinamatatizo sana.Dawa yao kivalishe pete ya Uchumba fake then utakula tambalaleee.

Nyie ndo mnaotukosesha wengine wake wa kuoa. Hivi ukishafanya hivyo, huyo demu atakuja kumuamini kidume mwingine kweli pindi utakapomtosa? Aisee bora umshawishi kwa vingine sio hiyo gia ya pete, unamtia mkosi mtoto wa watu aisee!
 
shangaa na wewe!watu wengne wanaangalia hisia zao tu.
 
dont date demu wa chuo ukifikiria umepata mke..we gonga usepe.waliomaliza chuo ndo wanaakili za kiutuuzima.uchafu wote wameshaufanya chuoni wanawaza kusettle down tu
 
mkuu katika wanawake mabwege kuliko wotee ni wa chuo kikuu kama akifikia hivyo kukuchezea basi weee ni ***** mshezeli just hamia tu sehemu nyingine lakini nimeona wanawake wengi wa chuo unauwezo wa kuwapelekea unavyotaka unless ulianza kujionyesha napesa zako .zikakakata ...usikate tamaa kama wamekutishia nyau kakamate majike dume COET mpwa wala ayanaga pressure we yatimizie tu mambo yetu yenyewe yanakamua shule
 
Wengine ndo maana hatutaki hayo mashauzi, tunagonga maHG..buku 5 mambo ya quickie za ghetto ziko guaranteed mwezi mzima.ala.
buku tano anakula kwako ama hgirlwa wengine??sikuhizi ukibagain mshahara buku 30 unamwambia ntakuongezea 10-15 yako sasa anaipataje ndio naona hako kamchezo ndio mnakatumia san sana anyway kazi ipo
 
...nilitegemea mdada wa chuo kikuu awe ni wife material ya ukweli...
lakini hakuna ***** kama hao watu,...
mm wakwangu alikua ananiambia:niko library nipigie baadae(kwa sauti ya kunong'oneza...u know wat i mean) kumbe yuko kifuani kwa kibeberu...pumbafu!!
 
mkuu katika wanawake mabwege kuliko wotee ni wa chuo kikuu kama akifikia hivyo kukuchezea basi weee ni ***** mshezeli just hamia tu sehemu nyingine lakini nimeona wanawake wengi wa chuo unauwezo wa kuwapelekea unavyotaka unless ulianza kujionyesha napesa zako .zikakakata ...usikate tamaa kama wamekutishia nyau kakamate majike dume COET mpwa wala ayanaga pressure we yatimizie tu mambo yetu yenyewe yanakamua shule
kaka COET siku hizi kuna watoto siyo madume jike kama unavyodhania,
 
Hao hawasumbui kabisa tena unawapeleka unavyotaka as long ukiwa unasomeka, nina jamaa yangu hapa job kawapanga kama 10 hivi na wengine wanajuana lakini walivyo wajinga hawajitoi kila mmoja anaamini yeye nde atakaeolewa, I am looking for a grown up lady aliyemaliza ujinga wake wote chuo na anajua life ni nini ndo twende next stage, vitoto vya chuo vya kuspend navyo wekend tu hasa pale bonus zinapotoka, as kwa vijana pesa yenye budget ni salary tu, but bonuses, overtime, per diem and so on ni ya kuspend tu na hao watoto washobokaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom