ukitaka kujua CCM wanambinu chafu,soma,hii

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
1.Wametangaza kufunga kampeni siku moja kabla yaani wamefunga Ijumaa badala ya Jmosi
2.Wamekuwa na vikao vya siri na maafisa usalama na tume kwa siri,moja ya kikao ni kile kilicho kaliwa Snow Crest Ngulero
3.Mkutano wao wa leo King'ori ulikuwa wa siri lakini baadae ilivuja kwani jana walisha tangaza kufunga kampeni.
4.Wamemwaga polisi zaidi ya elfu 2 na wamejenga mahema pale USA River kana kwamba kuna vita vile...
 
Mkuu uwepo wa polisi sio jambo baya, inajulikana hata ukiangalia jinsi kampeni ziliyoendeshwa. sasa ni bora kuwa tayari kwa lolote kuliko kuchelewa.
 
Jackson akili yako ka kiazi,magamba wewe.unashindwa kuelewa kuwa polisiccm wana upendeleo?
 
Jackson akili yako ka kiazi,magamba wewe.unashindwa kuelewa kuwa polisiccm wana upendeleo?
Mkuu usiwe biased, polisi wanalinda amani, na kwa ushindani wa kibabe ulioonyeshwa na vyama hivi tutarajie lolote litatokea. Slaa amesema PATACHIMBIKA sasa ndugu bora kuwa tayari kabla hapajachimbika.
BIG UP polisi ila mtende haki.
 
Lazima kinuke..mm niko tayari..ili kupandisha hasira nasikiliza yale maneno ya lusinde. Lazima nichinje mtu!
 
Lazima kinuke..mm niko tayari..ili kupandisha hasira nasikiliza yale maneno ya lusinde. Lazima nichinje mtu!
mkuu nakushauri tumia tu busara, usitumie hasira, nenda taratibu na hawa magamba si unamuona lusinde ni kichaa??!!
afu bora usiwasikilize (esp. Huyo lusinde) ni kama kuangalia movie afu unaenda kupigana...plz msichinjane ndugu zetu ushindi kama upo upo...mradi wasichakachue
 
Lazima kinuke..mm niko tayari..ili kupandisha hasira nasikiliza yale maneno ya lusinde. Lazima nichinje mtu!

Mchaka mchaka kweli HAMNAZO, tia mguu wako ukakutane na makamanda wa UKWELI-FFU, hawajui kutabasamu wala kuuliza swali, maswali utaulizwa kituoni.
 
Raha ni kwamba polisi kwa polisi hawapendani, polisi wenyeji wanawachukia wageni wanawaita masharobaro.

Leo bus mbili kutoka CCP zimeleta polisi na haya aliyasema jana Dkt Slaa na leo yametimia, vitoto vidooogo .
 
naona ukweli ni kuwa kushinda kwa upinzani ni kazi ngumu na kama wakikubali kushindwa ujue ndo mwisho wao na kama unaona upinzani utashinda subiri lakini tunaomba washindwe ili waondoke
mfano msajili wa vyama aliyosema alipokuwa Arusha na wazee je yeye anachama?
angalia maaskari wanajiandaa kwa nini kama uchaguzi ni huru na haki?
daftari la wapiga kura halijawekwa kwa mujibu wa sheria ?
kwanini kila kiongozi wa kiserikali anasema upinzani una fujo?
je hapo unategemea nini?
mwisho upo tutafika na kwasasa tuache mzazi akishika ubunge, mwanawe awe mbunge, mkwewe awe mbunge, mjukuu awe mbunge, na wote wanamuhusu wawe wabunge na wakurugenzi au tuwaanzishie wilaya na mikoa mipya maana wao ni watawala tuu maishani mwao na wengine ni wataliwa maishani mwao
kama itawezekana kwasasa tuwaelimishe zaidi wananchi juu ya haki zao ili 2015 walau wapinzani wawe wengi.
naona ni vyema nguvu kubwa ikawepo katika elimu ya haki za mtanzania na haki ya mpiga kura ili aweze kulinda kura yake 2015.
 
inabidi mtu awe na akili ya kichaakukuelewa ndugu
 
Mchaka mchaka kweli HAMNAZO, tia mguu wako ukakutane na makamanda wa UKWELI-FFU, hawajui kutabasamu wala kuuliza swali, maswali utaulizwa kituoni.

HAMNAZO ni WEWE ambae hadi leo (pamoja na ushahidi ambao dunia imeuona Tunisia, Misri, Libya na kwingineko) bado unadhani FFU wanaweza kushinda nguvu ya umma!
 
Tatizo la watanzania ni kuwa mashabiki wa vyama kama walivyo kwa timu za mpira
Tanzania itabadilika siku wananchi watakapoacha ushabiki wa vyama na kuanza kuwawajibisha wanasiasa kwa kura
CCM wakishindwa unawanyima kura
Chadema wakishindwa unawanyima pia
Historia inaonyesha CCM imeshindwa Arumeru Mashariki, wanastahili hukumu ya wananchi kesho
Hao polisi wakikubali kutumika kuvuruga demokrasia ni wa hovyo maana hata wao wana maisha ya mashaka yasiyo na future halali
 
1.Wametangaza kufunga kampeni siku moja kabla yaani wamefunga Ijumaa badala ya Jmosi
2.Wamekuwa na vikao vya siri na maafisa usalama na tume kwa siri,moja ya kikao ni kile kilicho kaliwa Snow Crest Ngulero
3.Mkutano wao wa leo King'ori ulikuwa wa siri lakini baadae ilivuja kwani jana walisha tangaza kufunga kampeni.
4.Wamemwaga polisi zaidi ya elfu 2 na wamejenga mahema pale USA River kana kwamba kuna vita vile...

Mh!!! Mimi sijui kama kweli unaifahamu siri. Kwa maoni yangu na mtazamo wangu, siri ni kile kitu ambacho hakuna anayekifahamu. Kama ccm wangelikuwa na vikao vya siri, hata wao wasingeweza kufahamu wala kushiriki. Na hadi wewe umefahamu, ni siri gani ambayo unaizungumzia???

Kuhusu vikao vyote ambavyo wamekaa na Rajab Kilavu, Dr. Silaa ameshatuambia Tengeru na kila kitu kipo wazi. Yote ambayo wao wanafikiri ni siri, sisi tunayafahamu, na kwa taarifa yako, leo tu Tengeru tulikuwa zaidi ya elfu kumi. hayo askari elfu mbili watafanya nini?

Kesho tunatoka Moshi, tunatoka Arusha, Tunatoka Babati, Tunatoka Karatu na tunakutana USA RIVER. Na wao wahamishie jeshi lote la wananchi, jeshi lote la polisi na askari wa CCP hapa moshi wote wahamie hapo USA river TUKUTANE TUONE NGUVU YA UMMA NA JESHI LA MAFISADI nani ZAIDI.

Wanajua kuwa watachakachua ndiyo maana wamekuwa na vikao hivyo vya ndani na kuandaa askari wote hao. Sasa kama wanafikiri kuwa ARUMERU ni IGUNDA, IMEKULA KWAO. KAKA TAARIFA NDIYO HIYO. KAMA UNAOGOPA, KAA MBALI NA ENEO LA TUKIO. HAKUNA UKOMBOZI AMBAO UMEWAHI KUTOKEA BILA DAMU KUMWAGIKA, SIYO DAMU YA KUKU AU YA NG'OMBE, NAMAANISHA YA BINADAMU.

VIVA CHADEMA.
 
Mchaka mchaka kweli HAMNAZO, tia mguu wako ukakutane na makamanda wa UKWELI-FFU, hawajui kutabasamu wala kuuliza swali, maswali utaulizwa kituoni.

Unawasema wale FFU walioomba msada JWTZ, baada ya kushindwa kupambana na machinga wa jijini Mbeya?
 
CCM namba wani aaaa aaaaah chama cha mapinduzi ccm namba wani.Siyoi waaa anaweka anatoa ushindi unakujaaaaaaa!Stimu ya bangi inapanda kwa hili songi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom