ukitaka kujifunza u daktari kwa vitendo njoo tz.

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,307
13,269
jamani hili wimbi la vituo bubu vya afya nchini na madaktari wasio na sifa,inakuwaje? Kweli hii nchi ni shamba la bibi,na ni kweli wahusika hawajui?au ndio kutuzuga.na mbona wengi ni wale jamaa kutoka mashariki ya mbali?na wanapokamatwa wanakuwa wakali kweli juu ya wale maafisa wa afya,au kuna watu wanawakingia kifua.
 
Back
Top Bottom