Ukitaka kufanya service ya gari lako kumbuka yafuatayo!

msilaumu garage tu na magari yenyewe siku hizi shaghala baghala, utakuta gari utazani jipya kumbe ukipiga start tu linamwaga moshi kama nuclear weapon. Unaweza ukalaumu fundi kumbe gari lenyewe liko beyond repair. khaaa!

teteteteteh nimecheka mpaka ugolo wangu umenipalia heheheh uzee dawa Klorokwin umenipa mpya
 
msilaumu garage tu na magari yenyewe siku hizi shaghala baghala, utakuta gari utazani jipya kumbe ukipiga start tu linamwaga moshi kama nuclear weapon. Unaweza ukalaumu fundi kumbe gari lenyewe liko beyond repair. khaaa!

njoo uchukue ufunguo upeleke gari garage.....mi wale mafundi siwapendi
 
Hahahhahaha aka mi naendesha mchuma wa ukweli siwezi kupeleka gereji za mashenzini!!!Nasikiaga tu watu kama wewe wakilalamikia pancha kila leo!!
khaaa! hivi mtu binafsi anaruhusiwa kumiliki helikopta kwa katiba ya bongo?, usiulize nani anataka kumiliki helikopta pliz!
 
FL1
Inataka kusoma mara ya 3 ndio uanze kujibu thread hii.
Ngoja nisome tena kwa mara ya pili.

Ila umewaza sana hadi kufikia muafaka wa kuandika hii maneno!
Vipi Genuine part ipo home au bado iko Japan? Safari hii ikija uendamane nayo hadi huko huko Japan maana mi nina mashaka huenda huko kuna spea nyingi hadi zinamfanya muagizaji ashindwe kurudi mapema. ha ha haaaa.
 
i hope sijatukanwa hapo.maana sielewi kitu..

LOL... LOL... Labda unielekeze unapotoka nyumbani asubuhi na mapema unatoka vipi kuelekea kati kazi na mizunguko yako.....(nimiona nitumie njia hio maybe utaelewa....lol)
 
FL1
Inataka kusoma mara ya 3 ndio uanze kujibu thread hii.
Ngoja nisome tena kwa mara ya pili.

Ila umewaza sana hadi kufikia muafaka wa kuandika hii maneno!
Vipi Genuine part ipo home au bado iko Japan? Safari hii ikija uendamane nayo hadi huko huko Japan maana mi nina mashaka huenda huko kuna spea nyingi hadi zinamfanya muagizaji ashindwe kurudi mapema. ha ha haaaa.

hahahahah shemeji mbona wanitia mashaka tena ,Genuine zote ziko hapa shemeji
kesi hii utasuluhisha,
 
LOL... LOL... Labda unielekeze unapotoka nyumbani asubuhi na mapema unatoka vipi kuelekea kati kazi na mizunguko yako.....(nimiona nitumie njia hio maybe utaelewa....lol)

mimi huwa natembea,sio mbali
 
Hehehe siku hizi hata madila wa genuine parts wanauza feki spares. Kazi ni kwako!
 
hao tena ....kuna garaje za mchina kila spea inapatikana pale...

sio spea tu...hata oil usipoangalia utawekewa za kichina mwisho wa siku engine inanoki.....mi napenda kuweka oil za BP kwenye gari yangu
 
Back
Top Bottom