Ukistaajabu ya Musa.....kumbe men nao siku hizi hujiuza baa?

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
722
Leo nimejikuta nashangaa nikaambiwa unashangaa nini?
Men kujiweka soap, na kujipodoa usharobaro. Wanaketi mahoteli makubwa na kuvizia wanawake wawanunulie kinywaji!
Ama kweli maisha yamebadilika.Kumbe wanaotemeatemea mate kwenye glass masaa siyo wanawake peke yao tu siku hizi!
Hata wanaume wamo!
Men...wakanyeni wenzenu..... wanawatieni aibu!

Ladies..beware! Mkiona mi men imekaa kihasarahasara kwenye migahawa na mahoteli msidhani wanasubiri appointment
wako mawindoni....
 
Maana yake ni kwamba wapo wanawake wanunuzi pia. Ni vyema uwakanye pia wanawake wasiwanunue kama wataweza (kama wanawake wanawataka pia).
 
Maana yake ni kwamba wapo wanawake wanunuzi pia. Ni vyema uwakanye pia wanawake wasiwanunue kama wataweza (kama wanawake wanawataka pia).

Wamesikia..ila ujue hizi tabia siyo za kiume! Mwanaume rijali hujiweza...hatakiwi kushinda saloon kutwa kukata nywele, kufanya scrub/facial na kuvaa tu.Lazima afanye kazi. Ingekuwa "kaka poa" ingeeleweka!

Hatutaki kupoteza "wanaume" kwa kuendekeza uvivu tu loh!SHAME!
 
waambie hao dada Tausi.....bora umetuonya mapema kabisa tukae nao mbali
 
kweli kaka,

they can't be men.....may be boys and above all, stray boys!!

Umeuona huu msemo???

A boy dreams but, ....a man does!!!!

kaka dc, nami ndio ninasikitika eti.... Good men put to waste shauri ya uvivu!kama wanavyofanya good ladies hahaha...kukata tamaa gani huku?
 
Kimekutokea nini Tausi?

avatar23787_24.gif
 
Kweli kaka,

They can't be MEN.....May be boys and above all, stray boys!!

Umeuona huu msemo???

A BOY DREAMS BUT, ....A MAN DOES!!!!

hao wanaitwa 'marioo'

na wamama wa kiswahili washasema siku nyiingi
'sio kila anaevaa suruali ni mwanaume'
sasa sijui watu hawajui kivipi hii....
 
kaka dc, nami ndio ninasikitika eti.... Good men put to waste shauri ya uvivu!kama wanavyofanya good ladies hahaha...kukata tamaa gani huku?

Tausi, JS na wengine wote,

Naomba mnisikilize vizuri....Hao siyo wanaume???

Mnataka niwaelezeje lakini???
 
Tausi, JS na wengine wote,

Naomba mnisikilize vizuri....Hao siyo wanaume???

Mnataka niwaelezeje lakini???

heheheh DC bana!
Wanaume kwani wakoje? Nijuavyo wana ile bakora ya ajabu kama wengine. Hicho ndicho hutofautisha maana mavazi au style ya nywele si hoja siku hizi.Ndevu na kutokuwa na maziwa si hoja pia.
 
Kama wanawake wanaojiuza bado ni wanawake wanaume wanaojiuza nao ni wanaume vile vile. Na kama mnataka kupinga hiyo tabia pingeni kwa wanawake pia, badala ya kuonyesha kwamba wanaume ni bora zaidi hivyo wanatakiwa kununua na sio kujiuza, na wanawake wanafaa kununuliwa pekee na sio kununua.

Wote ni wafanya biashara, na kama biashara wanayofanya sio nzuri ichukuliwe hivyo kwa wote wanaohusika kuuza na kununua.
 
Tausi wewe unashangaa leo wakati haya mambo yameanza karibia miaka 4 nyuma, tena kuna wadada wakiwaona hao wanaume wanawababaikia kweli na wanaingia mkenge kweli kweli
 
Back
Top Bottom