Ukisikiliza taarifa ya habari TBC1 utakosa habari zenye uhakika na ukweli.

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
Tbc imerudi miaka ya 60,kimekuwa chombo cha propaganda,rang nyeusi utaambiwa ni nyeupe.Kwenye Migomo ya ma dr.kilikanusha,leo baada ya mauaji ya mwandissi wa habari iringa jukwaa wahaririLIMETOA TAMKO WAO HAWAJAOONGEA KABISA.
 
mkuu bado unalete habari za tbc humu jf, wenzako tulishasahau kama kuna hiyo channel kabisa. achana nao hao wasikuumize kichwa endelea na shughuli zako tu
 
TBC kwani ndo nn? hv bado kuna watu wanasikiliza tbc, mm hata sitaki kuisikia kwani imejaa ubabaishaji. ningependa kama ingefilisika kabisa kama ilivyotokea kwa ATCL
 
TBC kwani ndo nn? hv bado kuna watu wanasikiliza tbc, mm hata sitaki kuisikia kwani imejaa ubabaishaji. ningependa kama ingefilisika kabisa kama ilivyotokea kwa ATCL

ndiko wanakoelekea! mana hata idara yake ya masoko kwa upande wa natangazo lazima ishuke kwa kuwa watu hawaifagilii tena na wenye kutaka weka matangazo si ndo wanyeyuka kidogokidogo! labda itaendeshwa kwa kodi zetu kwa asilimia zote miamoja
 
kweli katika vyombo vya habari ambavyo vimepotea basi ni tbc baada kukifnaya tbccm, sijui kama kuna tofauti na uhuru. ukweli na uwakika ni uongo wa ukweli daima
 
'Zoezi la Sensa limeenda vizuri kwa Zaid ya 95% na Sheikh Ponda amehesabiwa'- TBC
 
Kodi yetu hiyo inaenda kufanya propaganda za CCM...Ipo siku kitakuwa chombo huru cha umma.
 
Tbc ingebaki kuwa stesheni ya kuonyesha Komedi hapa nchini Haina haja ya kurusha vipindi vingine, Komedi tu asubuhi hadi jioni
 
It was written......"all institutions being backed by the state are for nothing than domination......domination of the middle and lower class....they are but for Ideological purposes......ideology that guarantee the survival of the upper class.....;rulers and capital owners.........."

Need I quote more......................?????
 
ndiko wanakoelekea! mana hata idara yake ya masoko kwa upande wa natangazo lazima ishuke kwa kuwa watu hawaifagilii tena na wenye kutaka weka matangazo si ndo wanyeyuka kidogokidogo! labda itaendeshwa kwa kodi zetu kwa asilimia zote miamoja

tatizo liko wapi unapesa za walipakodi tunawapa ruzuku hawa bwana, wacha wale watangaze propaganda
 
Back
Top Bottom