Ukisikiliza na kuangalia Bunge la Tanzani utasikia haya

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Ama kweli taifa limekuwa la wasanii na linakera kwa vimbwanga vyake! Ukisikiliza Bunge la Tz utasikia MCHAKATO, MIRADI, MEGAWATT, TAKWIMU, JITIHADA kedekede. Usijali, #TumuachieMungu
 
Utackia napenda kutuma salamu kwa Watoto zangu Musa,Hamisi,mke wangu mwajuma,pamoja na familia ya mh. Rais..hi kali
 
Nia thabiti na mipango endelevu, napenda kumpongeza mh wazir kwa hotuba yake nzur iliyojaa matumain tele kwa watz. Mwisho kabisa nimshukuru mke wangu mpenz kwa uvumiliv wake.
 
Nia thabiti na mipango endelevu, napenda kumpongeza mh wazir kwa hotuba yake nzur iliyojaa matumain tele kwa watz. Mwisho kabisa nimshukuru mke wangu mpenz kwa uvumiliv wake.
''Awali ya yote natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wapiga kura wa jimbo langu........br br br bra bra bra bra nawahakikishia sita waangusha.....''
 
Ama kweli taifa limekuwa la wasanii na linakera kwa vimbwanga vyake! Ukisikiliza Bunge la Tz utasikia MCHAKATO, MIRADI, MEGAWATT, TAKWIMU, JITIHADA kedekede. Usijali, #TumuachieMungu
<br />
<br />
Kutokana na bi kiroboto (Anna Makinda) alisema ni kariakoo kwahiyo ata kama ukisemwa uongo wowote ukimissbehave ni fresh tu
 
yana chekesha laki ndiyo ukweli wenyewe mbunge anatumia dkk 5 kusalimia/pongezi kwa familia ya rais,waziri mkuu, familia yake, chama chake na nk bila kujari nayo ni matumizi mabovu ya kodi ya walalahoi wasio kuwa na uhakika wa mlo hata mmoja...
 
Nia thabiti na mipango endelevu, napenda kumpongeza mh wazir kwa hotuba yake nzur iliyojaa matumain tele kwa watz. Mwisho kabisa nimshukuru mke wangu mpenz kwa uvumiliv wake.
<br />
<br />
Ahaahaahaaa watz wa leo yan ndo tunapewa matumaini?
 
Muongozo wa Spika
Fedha zimeshatengwa
Mradi utaanza baada mwaka ujao wa fedha
 
Back
Top Bottom