ukisikia ushauri na maneno ya kimapenzi ya wanawake wa jf utasema hawa ndo watalaam kumbe...

hahahaaaa...!!umeona eeh!? Mkuu umeua. anakuambia "fanya haraka haraka nataka nikaongee na ratifa". Ukimsema kidog tu atanuna hapo!. Mia

Ndio siku nyingine ukome kukurupuka na viPM ukajua umepata kumbe umepatikana......Narudia tena kuja pembezoni hapa nikuonyeshe alaaa!
 
hahahahaha mia leo umekua elfu

Mkuu, sisi jf ni kama familia moja. so mtu anapo fanya mambo yasio tunarekebishana kiroho safi. mi nafurahi nikiona mapenzi ya wawili yakidumu. Wangekuwa wanafanya yale wanayo ongea na kushauri, haki ya Mungu Tanzania watu wangedumu kwenye mapenzi. wana ongeaga point sana. kwa story nawakubali. mia
 
Ndio siku nyingine ukome kukurupuka na viPM ukajua umepata kumbe umepatikana......Narudia tena kuja pembezoni hapa nikuonyeshe alaaa!

nshakuja tayari, hunioni? Ungejua ninavyo penda kuonyeshwa hata usingesema. mama tuli nakusikiliza wewe tu. Mia
 
Asante mzee wa mia......mbona mie kila siku nipo, labda tunapishana tu. Halafu nawe mkuu bana, ndo ulikuwa unamuamrisha mwenzio 'kata kiuno' heheh kama mpo kwenye kwata jamani!!

Tatizo alikua hajui kama ulishaacha chibuku,sasa yeye anaenda kukutafuta kwenye vilabu vya chibuku wakati umeshaokoka na umeshampokea Yuda Iskariote!!
 
Asante mzee wa mia......mbona mie kila siku nipo, labda tunapishana tu. Halafu nawe mkuu bana, ndo ulikuwa unamuamrisha mwenzio 'kata kiuno' heheh kama mpo kwenye kwata jamani!!

hahahaaa...!!hapana mkuu, mtu mzima anaona haulizi. lakini mambo yanapozidi inabidi kuuliza. Ulipotea kama wiki fulani hivi coz kila siku nakutresi. Mia
 
mie ndo maana sipati tabu ukisikiliza mpira katikati ya shughulie mie nachukua kitabu cha shigongo naanza kukisoma.
 
Tatizo alikua hajui kama ulishaacha chibuku,sasa yeye anaenda kukutafuta kwenye vilabu vya chibuku wakati umeshaokoka na umeshampokea Yuda Iskariote!!

hahahahaaa...!! Eiyer inaonekana wewe ni mtabili. umejuaje? lakini kweli kuna watu fulani fulani jf nisipo waona siku haijaisha. huwa nauchuna tu. siwapm wala kukomment sredi zao lakini moyoni mwangu wamo sana tu na wananipeleka mbio. Mia
 
hii ngumu kumetha...

kuna watu nsha wachoma tayari. wameingia mitini. lakini ukweli utabaki pale pale. cha msingi na secondary wabadilike na wawe watu wa kuwapenda wawapendao. yaani mpenzi wako inabidi umjumlishe kwenye time table yako. Mia
 
hahahahaaa...!! Eiyer inaonekana wewe ni mtabili. umejuaje? lakini kweli kuna watu fulani fulani jf nisipo waona siku haijaisha. huwa nauchuna tu. siwapm wala kukomment sredi zao lakini moyoni mwangu wamo sana tu na wananipeleka mbio. Mia

Haya bana.....,ila kale ka ugonjwa kako ka kula chabo punguza au ikiwezekana acha,yule mdada wa chumba cha jirani yako mliepanga hapo kwenye hiyo nyumba ameshtukia lile tundu ulilotoboa kule bafuni!JITI!
 
mie ndo maana sipati tabu ukisikiliza mpira katikati ya shughulie mie nachukua kitabu cha shigongo naanza kukisoma.

hahahahaaaa...!!. Mkuu wapo wengi sana kama wewe ila hataki kusema ukweli. Mimi nikikutana na mtu kama wewe huwa nasusa. halafu narecord maneno. utasikia "Ushapata kimalaya kingine huko kinakuhangaisha halafu unajifanya kususa", hapo mimi kimya siongei neno coz ukishindana na mwanamke kuongea utaumbuka. Mia
 
Back
Top Bottom