Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

ndio maana siku wanajadili alikuwa mdogo sana. nafikiri alikuwa anawaza kitakachojiri
 
we mdada! Taratibu, cna hakika km kimeo unakifahamu vzr, haya huyo mz umsukumiae madongo ana kimeo ki1! Ww unamiliki vimeo vngp? Usianzishe STONEWAR wkt unakaa kwny nyumba ya vioo! Huyo mzee wengine sie mkwe we2 "Baba mzaa utamu/ucngizi wng" fanya bac uwe unazimua ukali wa maneno. USHA'NFAHAMU?

Acha ulevi na bange wewe jadili pointi hapa siyo sehemu ya kuonyesha ulivyo mtaalamu wa matusi. Usinmnyime dada wa watu kuchangia kwa uhuru kisa eti wewe gamba!
 
ndio maana siku wanajadili alikuwa mdogo sana. nafikiri alikuwa anawaza kitakachojiri
Ndege mjamja hunaswa na tundu bovu, kote huko tamiseni kapita poa tuu, hapa bungeni anaaza kudharirika, mchezo wenye we ndio huo!!!!!!!!! Ndio maana Bwn Luhanjo akasema hayo ni mambo ya kawaida kuiba kwenye wizara ni mbo la kawaida mradi saini ya katibu mkuu !!!!!!!!!!!!!!

 
Ndege mjamja hunaswa na tundu bovu, kote huko tamiseni kapita poa tuu, hapa bungeni anaaza kudharirika, mchezo wenye we ndio huo!!!!!!!!! Ndio maana Bwn Luhanjo akasema hayo ni mambo ya kawaida kuiba kwenye wizara ni jambo la kawaida mradi saini ya katibu mkuu !!!!!!!!!!!!!!

 
Kuhusu Pinda, mi nilishakata tamaa zamani hakuna kitu pale, angalia tu alivyokomalia suala la kuanza ardhi huko Mpanda eti waachwe nao wafaidi uwekezaji wakati anajua kabisa ni maangamizi anayapeleka kwao na kama si Tz kwa ujumla. Kwa ujumla CCM wengi wao wananuka
 
john ii ! Th's news we need. Unatushushia v2 vnaeleweka, na ni kwl kw 2lio mbali (km mimi niko mwz) mwanahalisi kufika ni jioni, "data with testmon" namna gani inaonesha your parents hawakupoteza mikwanja yao kukupeleka shule! Unaweza ukajiuliza ni kw nini nakupa uzito nna specific means! Jana ktk jukwaa hili somebody mmemkwa ka2letea b/news ambazo ni nyeti kwmb tayari mh. Mamvi el na mh. Ex aton gen. Washavuliwa kama magamba! Hbr zile hazikua na source, pa1 nakua gazeti somtyms c lazima liwe actual bt atlist u hv a soure! Jana 2lipata usumbufu usio wa lazima.
Naomba kutoa hoja!
mwana halisi lishaingia mwanza.
 
Hii title "Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya" inamislead. Ingerekebishwa na kusema "Ukisikia CCM ni wanafiki na wamekubuhu kwa usanii ona sasa haya". Kimsingi kumpick Pinda pekee miongoni mwa genge zima la majambazi ni kumuonea.
 
Unashangaa nini mkuu?

Ulishaambiwa hakuna mtu msafi katika serikali na CCM kwa ujuma wote wachafu.

Ukianza kupekenyua unaweza kufa kwa presha wote wale wachafu wanazidiana tu huyu kasaini 280,000/= wkt Ngeleja kasaini milioni 4.

Halafu ile vocha ya Ngeleja kasaini katibu wake, Bw Sosthenes B. Massola, si Ngeleja mwenyewe, teh teh teh. Kweli sisiemu hakuna msafi hata mmoja, gamba kila pahala.
 
Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu.

Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana!

katika serikali ovu, kuna aina kadhaa za viongozi. nitataja mbili na kzai zao.

1. Ni wale wanaoonekana kukerwa na uovu, wakati wao wenyewe wanashiriki kwa siri kubwa-hapa tz, tuna Pinda na J.K.
Mtu usipokuwa makini, unaweza kudhani kuwa ni bora sana, kwa kauli zao lakini ukigo beyonnd ni wachafu kama walivyowachafu wengine.

2. Ni viongozi ambao huwa hawaogopwi kuandamwa. wanfanya chochote, wakijua nyuma yao wapo viongozi wanaonekana ni wema na waadilifu. Na siku zote wanapeana commision
 
Ni wazi kuwa wizi katika serikali imekuwa order of thec day. Hata haya mabomu ya kulipuana yanaelekezwa kwa wale wanaowanyima wenzao migao. Maana nashangaa shelukindo kuwatetea ngereja na Malima wakati kila mmmoja aliweka kibindoni M4.Mawazo yangu ni; wezi wote idala zote wachukuliwe hatua au wote waachwe na itangazwe wazi kuwa kuiibia serikali bongo ni njia halali ya kujiingizia kipato.
 
la!!! hii ndiyo CCM, sasa naamini kwa mtindo huu, ni vizuri tu wasign out.

TANZANIA HAITAYUMBA BILA CCM, BALI ITAKUWA BORA, tutawasogelea WAKOREA ambao tulikuwa sawa kimaendeleo wakati tunapata uhuru--1961
 
Hii title "Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya" inamislead. Ingerekebishwa na kusema "Ukisikia CCM ni wanafiki na wamekubuhu kwa usanii ona sasa haya". Kimsingi kumpick Pinda pekee miongoni mwa genge zima la majambazi ni kumuonea.

...anajifanya msafi, wengine tunajua ni wachafu zaidi ya uchafu wenyewe.
 
kama kweli amesaini mtoto wa mkulima basi tena ,
ameniacha njia panda,
nilikuwa naenda mpanda,
kupita ndanda,
nikawaona wanapanda,
nami nikaganda,
wamevaa magamba,
waenda kwa pinda,
kumbe alikuwa jairoo
 
Katika taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la raia mwema la novemba 23 yenye kichwa cha habari "Pinda, Makinda, wavuta za Jairo" imechapishwa fomu ya malipo ya jumla ya sh 1,120,000/= kwa viongozi wanne huku jina la Mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini January Makamba likiwa limekatwa. Kwa mujibu wa jedwali January alipaswa kupokea 280,000/= lakini hakuzipokea. Mimi naanza kuamini kwamba kauli za January ni kielelezo halisi juu ya imani na msimamo wake kwenye maswala yenye maslahi kwa taifa na je tuna vijana wangapi ndani ya CCM wanaoweza kufanya anayoyafanya January?

GZ

Nkweli huyu kijana makamba kaonesha kuwa na misimamo thabiti kupinga maovu kupitia kamati yake ya nishati na madini......LAKINI, mbona kuna thread hapa ilionesha barua toka kwa dadayake vodacom kuandaliwa $1ml toka BARICK? so kwamba naye ni walewale ndo akaona kweli laki2 za jairo kwake ndogo saaaaaaana!
 
point yangu ni kwamba unatumia masaburi kufikiria na kujibu hoja, sasa sisi inakuwa ngumu kukuelewa maana umekalia.

Huwezi kuwa mstaarabu wa kujibu hoja ya mtu vizuri bila ya kuweka matusi? PLz mode JF imevamiwa na inapoteza hadhi yake ya Platform ya Great thinkers.

Nawasihi ndugu zangu tuendelee kupingana kwa hoja na sio kwa matusi.
 
Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu.

Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana!


Kitabu cha Biblia Takatifu kinatufundisha kupitia kitabu cha Muhubiri kuwa..." Heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu, ambae hajui tena kupokea maonyo" Pia kitabu cha Mithali kinasema "Wote wamepungukiwa na maarifa hawana hekima tena"

Kwenye serikali hii ya CCM tusitarajie kukutana na muadilifu kwa njinsi serikali inavyoendeshwa kishikaji. Wote ni wachafu na hawafai tena na mbaya zaidi wamekuwa ni wafalme wazee wapumbavu ambao hawasikii tena maonyo ya wananchi waliowachagua . Tutoke wote tupaze sauti zetu kudai katiba yetu itakayowaumbua wabadhirifu kama hawa wanaoteteana kwenye dili zao za kutudhoofisha sie
 
Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu.

Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana!
nataka niwe objective kidogo hapa. Tundu Lissu alimtaja Kafumu kuchukua posho zile. Ni wazi alijua kuwa naye Makinda na Pinda walilamba. Mbona hakuwalipua pale? Hii tuiweke vipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom