Ukisikia mtu meru anasema kura siri yangu ujue anapigia chadema hiyo ndo kweli

THEO LYIMO

Member
Mar 11, 2012
46
17
Wana jf hapa arumeru ukisikia mtu anaseam kura siri yangu ujue kuwa ni kiongozi wa magamba na alikuwa mtu maarufu sana na wanasema wanataka wamwabishe lowasa kwa kumrudisha sioi thika akaendelee na kutafuta udiwani huko
 
Back
Top Bottom