Ukisikia Mapenzi, basi ndio haya !

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
251820_375014145893644_700819632_n.jpg
 
huo ukubwa wa mkono wa bibie unazd paja la my baby wake teh teh teh
 
hata mashine huwezi iona maana minofu kaa kitimoto? nyana ule na mipupa ya kugegeda
 
Mapenzi wanangu ni kumwambia mwenzio ukweli. Huyo bwana haoni hilo pipa lake linavyobwakia majunk na bado anashindilia mengine! Kama hayo ndiyo mapenzi basi baba yenu siyapendi maana ni kifo!
 
Mapenzi wanangu ni kumwambia mwenzio ukweli. Huyo bwana haoni hilo pipa lake linavyobwakia majunk na bado anashindilia mengine! Kama hayo ndiyo mapenzi basi baba yenu siyapendi maana ni kifo!

Ntamwambia mama asikupe kabisa!
Kumbe ni kifo loooo!!
 
Kwenye masuala ya unyumba huyu jamaa huwa anamfikia kwema huyu my wife wake au ndio anaishi kugonga nguzo za goli bila kutikusa nyavu
 
hata mashine huwezi iona maana minofu kaa kitimoto? nyana ule na mipupa ya kugegeda

Mashine unaona kama uko patient-unafungua kama kurasa za LIKITABU KUBWA. Ile mijinyama unakuwa unasogeza pembeni na ikisumbua sana unaibana kwa rubber band! Hakuna linaloshindikana kama kuna upendo wa kweli jamani:)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom