Ukishapata mtoto

Wajinga dio waliwao,...
huyu dada ni mnyarwanda,anaimba kwaya ya "Ambassadors of Christ choir"

Watu wanapenda avatar kweli wanajikuta wanatongoza midume duh

Ndo maana nilikuwa najiuliza nimemuona wapi huyu dada nikashindwa kupata jibu
Kumbe ni hao ndugu zetu bana
nawapenda sana wana Ambassador wanaimba bana

hahahaha mkuu hiyo ni sawa kabisa kutongoza madume ipo sana maana unashangaa unatongoza kumbe ni mwanaume
 
Hiyo inaanza kwetu sisi bana
kama sisi tukiwa close bila shaka na wao wataiga hizo mambo na watakuwa close na utajakuta undugu umekuwa na nishakuwa baba mkwe wako bana

Mh,sio rahisi.
Me kuna mtu nilimpenda kweli ila kutokana na ukaribu wa familia
zetu tulichukuliana kama ndugu na ilikua ngumu kweli kuwa na mahusiano
ya kimapenzi kati yetu.

Acha ije itokee bahati mbaya tu wakutane haha
 
Ndo maana nilikuwa najiuliza nimemuona wapi huyu dada nikashindwa kupata jibu
Kumbe ni hao ndugu zetu bana
nawapenda sana wana Ambassador wanaimba bana

hahahaha mkuu hiyo ni sawa kabisa kutongoza madume ipo sana maana unashangaa unatongoza kumbe ni mwanaume

ni balaaa aisee.
too bad wa3 kati yao walifariki kwenye ajali.
But duh,she is cute aisee
 
ni mabadiliko makubwa sana yanatikea hasa kwa mama, nimeiona kwa sister angu alikuwa ni mtu mababe asiokuwa na huruma kabisa lakini tangu amekuwa na mtoto kabadilika mpaka kwa wengine hata ule ubabe sijui umeishia wapi, anapenda mpaka watoto wa wengine.

mchunguze vizuri asije akawa member wa al-shabab
wanabadilika kwa muda wakirudia wanarudi marambili ya walivyokuwa
 
mchunguze vizuri asije akawa member wa al-shabab
wanabadilika kwa muda wakirudia wanarudi marambili ya walivyokuwa

Hahaha,dah ume nifurahisha sana.
Sidhani kama anaigiza,nadhani ni akili ya kikubwa na upendo
vimechukua nafasi ya utoto na chuki/hasira
 
what changes when you have a baby?
Or say: What doesn't change after you get a baby?

1.you finally stop to smell the roses, because your baby is in your arms. You find your baby smells better that anything.

2. The sacrifices you thought you made to have a child no longer seem like sacrifices.

3. You respect your body ... Finally.

5. You respect your parents and love them in a new way.

6. You find that your baby's pain feels much worse than your own.

7. You believe once again in the things you believed in as a child.

8. You lose touch with the people in your life whom you should have banished years ago.

9. Your heart breaks much more easily.

10. You think of someone else 234,836,178,976 times a day.

11. Every day is a surprise, then say "god is great"!

12. Bodily functions are no longer repulsive. In fact, they please you. (hooray for poop!)

13. You look at your baby in the mirror instead of yourself.

14. You become a morning person.

15. Your love becomes limitless, a superhuman power.
16.you discover how much there is to say about one tooth.

17.you finally realize that true joy doesn't come from material wealth.

18.you now know where the sun comes from.

19.you'd rather buy a plastic tricycle than those shoes that you've been dying to have.

20. You realize that although sticky, lollipops have magical powers.

21. You don't mind going to bed at 9 p.m.

I love my daughter,whenever i think of her i get more strength to do more
of what i do.
What hasn't changed?mmmh,....i think of others (mum,dad and my daughter) than before.

Is this common to all?men and women?

jamani toto uko wapi?? Wenzako wako wapi jamani tumewamiss sana
 
Clemmy
umesahau na nyie upendo wa ""unyumba ""mnausahau kweli mnaamishia kwa wanenu
wengine tunaishia kupiga talalila chooni
 
Mh,sio rahisi.
Me kuna mtu nilimpenda kweli ila kutokana na ukaribu wa familia
zetu tulichukuliana kama ndugu na ilikua ngumu kweli kuwa na mahusiano
ya kimapenzi kati yetu.

Acha ije itokee bahati mbaya tu wakutane haha

Kwa wanaume sio ngumu sana kuform undugu
Ila kwa jinsia nyingine hizi ni balaa
Mimi naamini ukitaka kupata good friend haijalishi mmekutana wapi ila kama ile friendship ipo itakuwepo tuu
 
ni balaaa aisee.
too bad wa3 kati yao walifariki kwenye ajali.
But duh,she is cute aisee

yeah mkuu naangalia cd yao waliyotoa kwa sasa ambayo wameimba Kinyarwanda inasikitisha sana
Na wale jamaa watatu waliokufa so bad kwao sana aise
 
si ajabu ukataka na mahari ya kuanzia!

Good idea haha,mahali ya kuanzia umenikumbusha enzi
za mtoto anazaliwa tu mzee kijijini anaahidi atamuoa kwa ngombe 50 ila anatanguliza
30 kwa mda huo,....akifikisha 14 anamalizia na kumchukua binti duh
 
Ndo maana Mkuu nasema ukiw atayari niambie tuu nijitolee mahari ya kuanzia hata kama ni ada ya kuanzia vidudu
 
Ndo maana Mkuu nasema ukiw atayari niambie tuu nijitolee mahari ya kuanzia hata kama ni ada ya kuanzia vidudu

akija kutambua mzazi wake
ulimuuza akiwa mdogo hiyo kesi sijui utaijibu vipi
 
Ndo maana Mkuu nasema ukiw atayari niambie tuu nijitolee mahari ya kuanzia hata kama ni ada ya kuanzia vidudu

akija kutambua mzazi wake
ulimuuza akiwa mdogo hiyo kesi sijui utaijibu vipi
 
....
What hasn't changed?mmmh,....i think of others (mum,dad and my daughter) than before.

Is this common to all?men and women?
binafsi inanifanya nielelewe zaidi magumu waliyopitia wazazi wangu na kutambua umuhimu wao
 
binafsi inanifanya nielelewe zaidi magumu waliyopitia wazazi wangu na kutambua umuhimu wao

The same here,hiyo ni valid.
Lakini unakuta wengine wana familia na watoto lakini bado hawa
wathamini wazazi wao kabisaaa,...
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom