Ukishangaa ya Mussa.....

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Wamarekani wakiadhimisha sherehe za sikuu ya uvutaji bangi.
Ilifanyika tarehe 20 April.
Ama kweli Ukishangaa ya Mussa Utastaajabu ya Firauni.
 
Attachments

  • bangi2.jpg
    bangi2.jpg
    26.9 KB · Views: 203
  • bangi3.jpg
    bangi3.jpg
    35.4 KB · Views: 141
  • bangi4.jpg
    bangi4.jpg
    67.5 KB · Views: 121
  • bangi1.jpg
    bangi1.jpg
    36.5 KB · Views: 126
Nini faida ya sikukuu hiyo kwa utamaduni wetu?
Bangi ni haramu na ipigwe vita kwa nguvu zote.
Masikukuu ya kijinga kama haya clouds wakiyaona wanaanza kuyapigia debe na kuyapromote hatimaye kutuharibia vijana wetu.
Lady jay dee ana mpango wa kuleta sikukuu ambapo kila kitu haramu kitatumika siku hiyo.
 
Clouds again...!!!
Na hizi allegetions kwa jay dee...zinauthibitisho gani...c'mon the so called great thinkers...!!!
 
The world has really gone crazy
kijinga........ clouds wakiyaona wanaanza kuyapigia debe
If you don't mind buddy, please can you spare Clouds Fm a little bit. Let them out of this mess. We've talked about them so much such that i feel as being unfair to them!
 
Back
Top Bottom