Mwanangu wala usiombe likukute. Hi hatari kuliko tufikiriavyo. Hatusemi vibaya dada zetu ila tumezidi kubambikiwa watoto. Kuna doctor mmoja alifariki majuzi huku Norhern Zone. alikuwa na secretary wake, akampa ujauzito, walipostukia wakamwozesha kijana wa watu fasta. Kasheshe ilikuja pale Dr alipokufa, dada akaanza kuhaha oooh mtoto wa Dr, alikuwa wake na mambo meeeeeeengi hakujali hata ameolewa. Mwisho kijana naye kasusa hataki tena mke. Hata ile sheria ya kikristu "ALICHOUNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASITENGANISHE" hataki kusikia.
Ati?? lolwote mama na mtoto warudishe kwa mwenyewe. huo ndio ubinadamu ukiokota cha mtu mrudishie
Hili swala lina pyschological effects kubwa sana kama depression,paranoid,substance and alcohol abuse...ukishamzalisha kuna uwezekano mkubwa kuanza kujirudia akilini au wakati akiwa na mimba kuanza kufikiria sio ya kwako tena... Akichelewa kurudi nyumbani au akiwa anaongea na mwanamme mwingine it will cause suspicious.Ntafurahi kwa kupewa mtoto wa bure ila itabidi matunzo yawe kwamama yake na huyo mwenye kiumbe chake.....kwani huwa hujisikii raha kununua ng'ombe mwenye mimba???
In fact, Nitamtimua au nitamzalisha wengi zaidi nikomkomoe
Hii nayo ni mbaya sana, na inaumiza kwelikweli. Ule wakati wa kujifungua na muda baada ya kujifungua inatakiwa wahusika kuwa makini sana pamoja na manesi. Kunakuwa na uwezekano mkubwa wa kubadilishiwa mtoto.Kuna baadhi ya wakati watoto hubadilishwa hospitali, jee utamlaumu nani?
Yupo mama mmoja namfahamu tukifanya kazi ofisi moja siku zote alikuwa akidai mtoto wake amebadilishiwa na hata alikwenda hospitali kulalamika lakini hakuna aliyemwelewa including her husband. Alikuwa tayari kuwapeleka mahakamani lakini familia haikumpa support na hivyo alishindwa kwa kukosa ushahidi. Ni miaka ile ya mwanzo wa tisini hakukuwa na vipimo vya DNA.
Kwa bahati mbaya anaifahamu hiyo familia ambayo "walibadilishana" watoto maana walijifungua wakati mmoja na walikuwa wao wawili tu. Sasa alitaka kuchanganyikiwa maana hwenda mpaka karibu na kule kwa familia nyengine ili amuangalie yule mtoto anayesema wa kwake, lakini jamaa wakamstukia na walikuwa wanamficha kwa kuhofia atamuiba siku moja.
Kwa vile nimehama ofisi ile sijui yule mama kama amepata guts za kwenda kupima DNA ya mtoto.
Mwanangu wala usiombe likukute. Hi hatari kuliko tufikiriavyo. Hatusemi vibaya dada zetu ila tumezidi kubambikiwa watoto. Kuna doctor mmoja alifariki majuzi huku Norhern Zone. alikuwa na secretary wake, akampa ujauzito, walipostukia wakamwozesha kijana wa watu fasta. Kasheshe ilikuja pale Dr alipokufa, dada akaanza kuhaha oooh mtoto wa Dr, alikuwa wake na mambo meeeeeeengi hakujali hata ameolewa. Mwisho kijana naye kasusa hataki tena mke. Hata ile sheria ya kikristu "ALICHOUNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASITENGANISHE" hataki kusikia.
Ntafurahi kwa kupewa mtoto wa bure ila itabidi matunzo yawe kwamama yake na huyo mwenye kiumbe chake.....kwani huwa hujisikii raha kununua ng'ombe mwenye mimba???
In fact, Nitamtimua au nitamzalisha wengi zaidi nikomkomoe
Wakuu nimeona taarifa kwenye gazeti la Nipashe kuwa nusu ya watu waliokwenda kwa mkemia mkuu wa serikali kupima vinasaba (DNA) ili kujua uhalisia wa watoto wao wamekuta si wao.
Sasa nikajiuliza kama ndo limenikuta/limekukuta utafanyaje?
Mimi binafsi nitakubali matokeo, na nitalea mtoto kama halikutokea jambo lolote linalo uhusiana na DNA.Wakuu nimeona taarifa kwenye gazeti la Nipashe kuwa nusu ya watu waliokwenda kwa mkemia mkuu wa serikali kupima vinasaba (DNA) ili kujua uhalisia wa watoto wao wamekuta si wao.
Sasa nikajiuliza kama ndo limenikuta/limekukuta utafanyaje?