Ukipigiwa simu pokea vinginevyo!!

senator

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
1,924
66
Kwa wale wadau wenyewe nyumba ndogo au vibustani...ukipigiwa simu na small house afu mida hiyo upo na my wife wao inakuwaje wapo??
pata attachment hiyo
 

Attachments

  • cmu.mpeg
    882 KB · Views: 441
labda kompyuta yangu.... attachmen haieleweki kabisa, inakwenda for seconds only
 
Its just a 15sec play..lakini ujumbe unaupata wa hiyo simu
 
hapo jamaa atakoma kususia simu ni bora ingekuwa under silent mode
 
Dawa yake ni kwamba kama una totos basi hakikisha unaweka simu yako kwenye silent mode au kuepusha balaa izime kabisa mpaka hapo utakapokuwa salama!!
 
Dawa yake ni kwamba kama una totos basi hakikisha unaweka simu yako kwenye silent mode au kuepusha balaa izime kabisa mpaka hapo utakapokuwa salama!!

Kuizima soo....inafaa unaiweka kwenye silent au vibration mode kwa calls na messages. If necessary unaingia toilet na kuattend missed calls na msgs!

Kazi kweli kweli upendaji wa totoz....
 
Dawa yake ni kwamba kama una totos basi hakikisha unaweka simu yako kwenye silent mode au kuepusha balaa izime kabisa mpaka hapo utakapokuwa salama!!

Ha ha haaa, au ampangia mida ya kukupigia!
 
Vinginevyo ndo hivyo alivyofanyiwa....laa kama angepokea yasingalitokea
 
Chakufanya uwe naline tofauti moja maalum kwajiri ya small house na hand set yake ukifika kwa my wife wako ile ya small house unaizimilia mbali.
 
Jamani yaani mnashabikia kuwa na nyumba ndogo 'vibustani'? Nilitegemea mkeemee tabia hiyo, matokea yake naona mnafundishana namna ya kundeleza ufisadi wa ngono kwa wake zenu. Hakuna nyumba ntobo yenye mafanikio au baraka, inafilisi. Madhara ya nyumba ndogo ni makubwa kuliko faida zake. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
 
Hii mali sana, midume kwa kuzuga jamani sijui mtaacha lini ubwege. Hivi vijumba vyenu mnavipa hati miliki kama ya mke si ujinga??

Haya ndo hiyo imetumbukizwa kwneye glass ya bia!


This is interesting!!!
 
Dooooh,doooh,doooooh, yaani huyo sirudi naye tena,yaani hapo kajiandikia taraka mwenyeweeeeeeeee kutokea kwenye hiyo pub. Na hivi siku hizi tunagombewa?Huyu bw. angekuwa mswahili angeongea tu. Hamna cha silent mode wala g.mode.Aguse simu yangu??????Labda awe ana miss kwao!
 
Back
Top Bottom