Ukipewa nafasi ya kumshauri Mhe Freeman Mbowe Utamwambia nini?

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
wadau leo tumshauri mwenyekiti wa cdm hapa.

Mhe wa chama cha kidemokrasia tafadhali mwaka huu simamia demokrasia katika uchaguzi wa ndani,yeyote atakaye gombea nafasi ya mwenyekiti apewe fomu wajumbe waamuwe.
 
vp zk kakuagiza??
 
Kwa kuwa niko mwanza nitamwambia mwanza wameichoka chadema, mene mene tekeli na pelesi
 
Nitamshauri atenegeneze mfumo mzuri wa chama unaoeleweka.chama kiundwe kuanzia chini kwenda juu na maamuzi ya chama yafuate mkondo huo huo.Wanachama na viongozi wabadhirifu wafukuzwe mara moja bila kujali umaarufu wa mtu.
 
wadau leo tumshauri mwenyekiti wa cdm hapa.

Mhe wa chama cha kidemokrasia tafadhali mwaka huu simamia demokrasia katika uchaguzi wa ndani,yeyote atakaye gombea nafasi ya mwenyekiti apewe fomu wajumbe waamuwe.
Aachane na Siasa
Yeye na siasa wapi na wapi ama ndio kutafuta umaarufu nakutaka kutupiga zaidi Pesa zetu tusio jiweza.
 
Back
Top Bottom