Ukipendwa pendeka!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Kuna watu wameumbwa duniani kwa aina ya kivyao
nasema hivi kwa kuwa nimekujja kuona kuna wakati wegine
wanapendwa wanaafanyiwa kila kitu na wenzi wao wanachoitaji
lakini wapi kila siku ugomvi ..majibishano,matukano...
wengine NGUMI mtindo mmoja..ikiwa weye wa aina hii
embu kama mwenzio anakupenda jitahidi na wewe upendeke
ati ridhika na mwenzio alichokuwa nacho Mungu ndio kakukutanisha
nae akiwa hapo mkiwa pamoja mnaweza ongezeka ama kumalizwa kabisa
Mapenzi ya kweli yawe ngao yenu;kweli kuna wengine washenzi wahuni
lakini kama unapendwa na unajua unamtesa mwenzio dhambi yake

Ya YUDA ESKARIOTI NDOGO jua hilo kama SI hapa Mwisho wa shuguli
 
Ni kweli kabisa,lazima umthamini na kumheshimu sana yeyote anaekupenda.Niujambazi,ushamba na kwa kweli si ustaarabu kufanya vitendo vya kumuumiza akupendae.AKUPENDAE MPENDE.
 
Ni kweli kama unavyosema , kuwa Mwenyezi kaumba!.
Kuna watu sijui uwaite washamba, hawajakomaa ama ndo walivyo; Kwao wao kuonyesha kupenda ni kudharau kudhihaki na mangumi, ndio kapenda sanaaaaa!!!, na kweli dnio kapenda!. Sasa mtu kama huyo akipata mtu tafauti yake; hapo sasa ndo balaa ya anza lakini akimpata mwenzi mwenye hulka hiyo , mambo kangaja!. Ninae jamaa yangu moja yeye ilifika kudungwa kisu na mpenziwe wa kike, tukafanya jitihada tumtoe kwenye shida, sisi ndio tuliondokea kuwa wabaya, wenyewe waishi maisha hayo mpaka sasa.
Kuna watu wameumbwa duniani kwa aina ya kivyao
nasema hivi kwa kuwa nimekujja kuona kuna wakati wegine
wanapendwa wanaafanyiwa kila kitu na wenzi wao wanachoitaji
lakini wapi kila siku ugomvi ..majibishano,matukano...
wengine NGUMI mtindo mmoja..ikiwa weye wa aina hii
embu kama mwenzio anakupenda jitahidi na wewe upendeke
ati ridhika na mwenzio alichokuwa nacho Mungu ndio kakukutanisha
nae akiwa hapo mkiwa pamoja mnaweza ongezeka ama kumalizwa kabisa
Mapenzi ya kweli yawe ngao yenu;kweli kuna wengine washenzi wahuni
lakini kama unapendwa na unajua unamtesa mwenzio dhambi yake

Ya YUDA ESKARIOTI NDOGO jua hilo kama SI hapa Mwisho wa shuguli
 
kweli ukipendwa pendeka na ww unayependa penda kiasi ili unayempenda nae apate nafasi na yy yakuonyesha pendo yani iwe 50% kwa 50% usiache nafasi ya mwenzako kujiuliza kama kweli mpenzi wako anakupenda
 
Nilipopigia msatari ndio kikwazo kwa wengi!

Tusaidiane turadudishaje hisia za upendo?
 
Ubaya wenye mapenzi ya kweli
wanakutana na majambazi ni shida mtindo mmoja
nahisi hapa ni sala tu zitatuepsha
 
dah we umenena ..wenye mapenz ya kweli daily twamit na majambawazi mpk unataman kuconclude ol men r..............g!!!!!
bila neno lakae na mwongozo wa mungu kikombe iki akitatuepuka ata kdg!!!!!!!!!!!!!!!:yuck:
 
Kwa kweli wako wenye bahati ya kupendeka... wanapata wenzi wanaowajali.. lakini wakishajua wanapendwa viburi, dharau.. vituko.. wanavyo wafanyia hao wanao wapenda ni balaa tupu.
Wanacho sahau ni kuwa kwa miaka ya sasa ukipata mtu akakupenda kutoka moyoni usimwache, maana bahati kama hizo ni chache sana
 
Back
Top Bottom