ukipata mwenza kupitia jf........

......... na kisha mkabahatika kupata mtoto,je kwa heshima na kumbukumbu ya jamiiforums huyo mtoto mtamwitaje?
Nahitaji ushauri wa haraka tafadhali.

Hahahaaaa yani ww unajua sijui huwa unawazaga nn umenifanya nitoe kicheko baada ya kumuwazia E wa T amezaa na ww kwahiyo mnatafuta jina la mtoto....lol
 
Mwaga nondo bana hapa,au mtoto aitwe Yummy?
Baba Y...ina sound eti?
 
daah m2 mwenyewe nashindwa kumwelewa coz mala aje na tiketi ya ndege eti anafanya kazi zanzibar mala ooh nataka nisome chuo'bt yote kwa yote mimi nilipenda aje kuwa mama watoto pindi muda mwafaka ukifika sasa bado niko njia panda.

polepole kakaangu,miez 2 michache sana kutangaza kwenda kwao.mstadi kwanza... haraka haraka haina baraka!
 
......... na kisha mkabahatika kupata mtoto,je kwa heshima na kumbukumbu ya jamiiforums huyo mtoto mtamwitaje?
Nahitaji ushauri wa haraka tafadhali.

Me binafsi ntachanganya ID ya baba + ID yangu,hivyo mtoto ataitwa VeMaBi.
 
daah m2 mwenyewe nashindwa kumwelewa coz mala aje na tiketi ya ndege eti anafanya kazi zanzibar mala ooh nataka nisome chuo'bt yote kwa yote mimi nilipenda aje kuwa mama watoto pindi muda mwafaka ukifika sasa bado niko njia panda.

Jackson shauri yako,maadam mwenzio mlikutana jamvini ujue anakuchabo.
 
Me binafsi ntachanganya ID ya baba + ID yangu,hivyo mtoto ataitwa VeMaBi.

Mzee naye memba humu? Kaaaazi kweli kweli asije akafuma PM zako maana kina bishanga hatukawii kumwaga sera.
 
Back
Top Bottom