Ukiota

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,493
1,311
Jali ndoto yako,
Jaman watanzania wote wamekuwa manabii,

Mungu amesikia kilio chetu

ni ndoto kwenda mbele zinazo ambatana na kipato kidogo

Nawashauri watu kutopuza ndoto zao kwani ni deal kwa sasa Tanzania

Mungu bariki wa Tanzania na ndoto zao na zidisha maajabu kwa kushusha ndoto kila pembe ya TANZANIA
 
aaah wp! Ndoto zao znatokana na mizimu ya kwao then wanamcngzia Mungu! Hv inaingia akilin kwel mungu atokee kwnye ndto? Wanakera hawa waotaji!
 
Kabla ya kukurupuka na hizi ndoto na kutangaza ni vyema kujiuliza maswali kadhaa .
Wengine hizo ndoto ni matokeo ya mawazo waliyowaza kabla ya kulala
 
Na mimi nimeoteshwa,,,natoa dawa kwa wote wanaotafuta kazi,sh 200...ndani ya siku saba kazi itapatikana.Karibuni sana...lolest
 
exactly! Celew kw nn wa2 waamin ndto za wnzao kias hch?
Kabla ya kukurupuka na hizi ndoto na kutangaza ni vyema kujiuliza maswali kadhaa .
Wengine hizo ndoto ni matokeo ya mawazo waliyowaza kabla ya kulala
 
Na mimi nimeoteshwa,,,natoa dawa kwa wote wanaotafuta kazi,sh 200...ndani ya siku saba kazi itapatikana.Karibuni sana...lolest

Na wewe uko upande gani wa TZ tuwahi kabla foleni haijawa kama ya babu
 
aaah wp! Ndoto zao znatokana na mizimu ya kwao then wanamcngzia Mungu! Hv inaingia akilin kwel mungu atokee kwnye ndto? Wanakera hawa waotaji!

Madhara ya umagharibi, akiota T.B Joshua, kamuotesha Mungu, akiota Mch. Mstaafu Ambilikile Mwasapile, mizimu. Uzandiki tu....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom