Ukiona vitu vinapewa majina mengi ujue vina umuhimu wa tofaut katika jamii

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
May 29, 2011
2,405
1,180
Embu angalia vitu hivi
>PESA=chapaa,mkwanja,pepa,mawe,doo,mpunga,mapene.....N.K
>MWANAMKE=manz,demu,mchuchu,kiburudisho,king'amuz,mtoto,mamdii.....
>BANGI=kijit,ganja,msuba,mosh,kete,mjani.....
>RUSHWA=kitu kidogo,chai,hongo,takrima....
Na nyingine nying
hapo ndo naamin kwel umuhimu wa kitu upo kwenye kitu chenyewe
 
Neno rushwa linapunguzwa makali kwa kupewa majina rahisi,mf uzinifu ni ngono pia tendo la ndoa ni ngono
 
Ukitaka kujua RUSHWA mahospitalini.. Utamsikia Dokta anakuambia Hajisikii vizuri leo kufanya Kazi A.K.A hayuko kwenye mood.

Ndo maneno yao hayo ya kuomba Rushwa.
 
Hata nywele kwenye mwili wa biaadamu kina majina mengi na pia kina umuhimi kama vile:
  • Nywele za kichwani.
  • Nyusi
  • Ndevu.
  • Mzuzu
  • Mustachi
  • Kope
  • Masharubu na vingine sipendi kuendelea malizia mwenyewe kwakua sasa hivi watoto bado hawajalala!
 
nywele za ukubwan
 
Makalio,tuzu,bomole chee,wo wo wo,ngongingo,mkia,kinyesi,mgongo,donati,masabuli, n.k!na ukitaka kujua umuhimu wake ****** kalia kichwa!
 
Pombe ya gongo = chang'aa, machozi ya simba, supu ya mawe, mfupa, majisafi, cheupedawa, moshi, kingwendu, mwenyewekatoka, tunachajisimuhapa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom