Ukiona mwanamke kanenepa, jua sababu ni hii…!

Mimi ni mmoja wapo ninae kula sana nikiwa na msongo wa mawazo kama mtambuzi alivyoelekeza. Hajakosea kabisaa ni kweli tupu hiyo.

Inawezekana,bt ni wachache sn kwa wabongo!bt wengi hudhoofu coz hukosa ham ya kula
 
Kiukweli msongo wa mawazo ni tatizo kubwa linawakabili wanawake wengi duniani; na wengine wana msongo wa mawazo lakini hawajijui.

Kuna vitu natural kama menstrual periods, mimba, lactation na kadhalika ambavyo huwafanya wanawake wawe na msongo wa mawazo kwa namna moja au nyingine.

Ndio maana hata Mungu akawaambia wanaume waishi na wanawake kwa hekima. Hii ni kwa vile wanawake wana matatizo ambayo hata wao hawajui kama wanayo...
 
Mi nakubaliana na utafiti huu . . . . . . awali bila kujionea mwenyewe LIVE ningebisha mpaka siku ya mwisho. Nimeshaona wanawake wa4 mpaka sasa ambao wapo ktk hali ya kula na kunenepeana ovyo kutokana na stress za mahusiano, na hata maisha kwa ujumla. Ila kwenye size ya idadi sina data zozote, kwamba ni wanawake kwa asilimia kubwa hula sana kwa sababu ya msongo au ni idadi flani isiyo kubwa sana wala ndogo. Kwa mengine NAUNGA MKONO NA MIGUU
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom