Ukiona mwanamke anakwambia maneno haya, ujue ni hatari

Wanaume kuna dalili ambazo ukiziona mwanamke wako anazifanya mkiwa faraghani ujue wazi hakuna unachofanya. Yaani wewe umejikoki unajua unatoa dozi umejipinda mara ghafla katikati ya mechi unasikia mwanamke anakuuliza "Hivi baby umenunua luku, zilikuwa zimebaki yuniti 2 tu wakati tunarudi?"

Yaani kweli katika ya mechi tamu unadhani mwanamke atakumbuka LUKU??? Au anakuuliza "Hivi baby boss wako yule mrefu yupo kweli?" Blaza ukiona maswali IRRELEVANT kwenye muda RELEVANT ujue unapiga kinanda off key na mwanamke anakutoa kwenye mchezo umalize asepe.
UMENENA UKWELI KABISA MKUU.
 
Unamjibu na wewe unamuliza, unajua nawaza sana, hivi yule rafiki yako fulani ana mtu kweli... namuonea huruma...

Hapo mkiwa mnaendelea ma mechi..
 
Back
Top Bottom