Ukiona hivi jua umechokwa!!

Purple

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
2,027
935
>atapunguza mahaba na wewe,sina maana ya ngono namaanisha mambo ya kimapenzi mfano kukujali,kukuheshimu na kukuthamini..
>anakua mgumu kupokea simu yako,hata akipokea hazungumzi maneno ya mahaba kama zamani..
>ukimwambia unampenda atakujibu asante tofauti na zamani..
>message zako hajibu hata akijibu itakua kwa mkato sana..
>anaonekana hana msisimko na wewe atakua mzito hata kuachia tabasamu akizungumza na wewe..
>hakuamini tena..
>hakufuatilii sana,mara nyingi anaonekana mwenye mawazo mengi akiwa na wewe..
>hafurahii anapokua na wewe hata uchangamfu wake unapungua..
 
ndugu yangu mapenzi ni sawa na katiba ya nchi yani ni mapana sana,hivyo usi judge kwa vitu vidogo kama hivyo badala yake chukua hatua katika kuimarisha uhusiano wako.
 
ila kama wewe bado unampenda inauma sana! kuchokwa kubaya sana purple!

.....jikumbushe tu wewe ni no#1 priority and NOT an option....haitakuuma tena ukijitambua thamani yako. Usisubiri kutathminiwa.
 
nimegundua tatizo lako kuu Purple!wewe unapenda kupewa tuuu kutoa hutoi!ona hata hapa jf umepewa likes 207 lakini hujatoa hata like 1!this reflect your habits in your relationship!badilika sasa!anza sasa hivi kwa kugonga like post hii kisha ukirudi kwa mpenzio na wewe nenda katoe unayopenda kufanyiwa
 
>Wewe ongeza heshima na kumjali na kumuheshimu maradufu
>Jitahidi kumpigia na kumueleza mambo ya maana, na mahaba sio kumlahumu na zungumza nae kwa upole zaidi
>Sio kila wakati umwambie nakupenda, muoneshe upendo kwa vitendo
>Punguza kumuandikia misms mireeefu labda inamboa
>Ili aweze kukuamini jitahidi jambo utakalomwambia au unalotaka kulifanya uwe na uhakika na kulifanya kweli, (Punguza kuwa too much talking)
>Msisimko,Uchangamfu, Kukufuatilia Hivi vyote havitakuwepo ukikamilisha hayo yote.
 
nimegundua tatizo lako kuu Purple!wewe unapenda kupewa tuuu kutoa hutoi!ona hata hapa jf umepewa likes 207 lakini hujatoa hata like 1!this reflect your habits in your relationship!badilika sasa!anza sasa hivi kwa kugonga like post hii kisha ukirudi kwa mpenzio na wewe nenda katoe unayopenda kufanyiwa
Mc Tilly Chizenga kabla hujamjudge mtu jifunze kuuliza kwanza!natumia mobile version na kwenye simu hakuna kitufe cha like sasa kosa langu ni nini?
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu mapenzi ni sawa na katiba ya nchi yani ni mapana sana,hivyo usi judge kwa vitu vidogo kama hivyo badala yake chukua hatua katika kuimarisha uhusiano wako.

mapenzi yanaundwa na vitu vidogovidogo na sio vikubwa so ukiona hivyo vidogo havipo jua hata vikubwa haviwezi kuwepo!
 
ila kama wewe bado unampenda inauma sana! kuchokwa kubaya sana purple!

uko sawa maumivu ni muhimu haswa kama ulipenda lakini huna budi kumuacha aende hazina ya mapenzi kwako imekauka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom