Ukiona hii kitu ULIZIA dawa za KULEVYA.

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Nina picha muhimu. Natafuta sehemu sehemu ya kuingizia picha hapa sioni. Wenzangu nieleweshe au nimefungiwa hiyo huduma?!!!
 
Mkuu hiyo Tittle na hayo maelezo!! Haya bana!!
Mkuu, taka niposit picha fulani ila option ya kupositia picha haionekane kwangu!!!! nahic mods wananifukuza kimya kimya. kwakifupi, sioni sehemu ya kuingizia picha kwenye posit zangu!!!
 
can-stock-photo_csp0213999.jpg shoes.jpg

Mkuu Paul Kijoka ulikuwa unamaanisha hii???
 
Back
Top Bottom