Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

deh deh deh, mkuu tahazari kwenye dua zako, omba ugeuzwe baskeli ya husninyo, ukiomba ugeuzwe baskeli tu mara unageuzwa baskeli la malaria sugu halaf busha la malaria sugu linaanza kuleta frikshen fosi.

ha ha ha ha ha! We kloro umepinda kweli.
Kashachelewa maana baskeli yangu ilishaharibu. Lol!
 
Wanaume bwana! wanavyojuaga kuwa laghai mabinti wa watu mpaka wapate hizo bikra,leo wako hapa kuwapaka matope.
I wonder kama mgekua manayaongea haya iwapo kungekua na alama kuonyesha mmeshawapitia wadada wangapi. Acheni kuwaita wanawake malaya kwa kigezo cha kutokukutwa na bikra,ikumbukwe hizo bikra zinatolewa na wanaume,so kama ni makosa wote tuwakosaji period.
 
An excuse for not bn virgin????why the hell would i give an excuse?,do me this favour,i think you have sisters and lots of women you know,you can ask them if they give any excuse for not bn virgin???? We have the responsibility to decide what we do with our bodies,no one can decide for us,not even our husbands!:car::car:

So no excuse yaaah. Tell me then why the hell am I always the second boyfriend to all girls I have dated, kama kumi hivi???
And the LUCKY first ones only slept with them kama mara mbili tatu tu. EVEN MY WIFE FOR GODSSAKE TOLD ME THE SAME CRAP. While men we always say even if they are trillion.
 
hakuna ekskyuz, suala la msingi inabidi wajibu bikira wanazipeleka wapi siku hizi? mbona mabibi zetu walikuwa nazo halaf walikuwa wakitongozwa wanaangalia chini lakini sku hizi unatongoza mdada anakutolea mimacho kama kingwendu. dah! imekula kwetu walahi.

siku hizi hawaangalii chini wanaangalia usawa wa mfuko wa shati kama cash yako inasomea hapo au kama ni ya mawazo utakuwa umeificha kwenye waleti
 
ukiolewa bila bikra ujue mwenzia anakuchukulia ulikuwa malaya, kubali usikubali may be hiyo bikra alitoa yeye la sivyo ULIKUWA MALAYA.

KWA HISANI YA (JINO KWA JINO).

Haina ukweli wowote, it is just a mindset na mtazamo wa watu wachache tu.

Na je kama msichana kaolewa bikra, halafu kwa sababu mbalimbali km kufiwa akabaki mjane, au kaachwa, akiolewa mara ya pili, atachukuliwa kuwa alikuwa ni malaya hapo kabla?
 
Wanaume bwana! wanavyojuaga kuwa laghai mabinti wa watu mpaka wapate hizo bikra,leo wako hapa kuwapaka matope.
I wonder kama mgekua manayaongea haya iwapo kungekua na alama kuonyesha mmeshawapitia wadada wangapi. Acheni kuwaita wanawake malaya kwa kigezo cha kutokukutwa na bikra,ikumbukwe hizo bikra zinatolewa na wanaume,so kama ni makosa wote tuwakosaji period.

Tena basi...kama wanaziona mali sana..wangefunga midomo wasitongoze vibinti vya watu vikiwa bado innocent.

Wajiulize - mbona hawawaachi mabinti wakue hadi wapate akili ya kuelewa uongo wa wanaume? Ingekuwa hivyo mbona kila mwanamke angeolewa nayo!
 
Aisee, Nyie wanaume nyie, hivi mnajijua kama ninyi ni viumbe wa ajabu sana. Unamdanganya dada wa watu kwa ulaghai mkubwa, unamtoa bikira, tena unaweza hata ukamzalisha, halafu unamuacha bila hata huruma, hilo hamlioni wala hamlifikirii.

Sawa bikra ni heshima, lakini kabla hamjafikia kumwita mtu Malaya, jifikirie na mjifikirie ni mara ngapi mmewaharibu mabinti wa watu. Na hata kama hujamkuta bikra kwa nini ulitembea na binti wa mwenzio.

Ngoja niache kuandika manake naona hasira ndo zinaandika hapa.

But you men ningekuwa na uwezo, ningewahamishia kwene sayari nyingine mtoke huku kwene sayari hii.

Na nyie mnaoendelea kuharibu, kujeruhi mabinti. MSHINDWE. Na ujue kiasi kile kile unavyoharibu watoto wa wenzio ndo hivo hivo na wa kwako watakuja/wataharibiwa.

Nisameheni manake nimejikuta, napata hasira tu gafla.
 
asante ws kweli hii ni tabutupu wanapita wakiharibu halafu wanathubutu kusema haya maneno

Tena basi...kama wanaziona mali sana..wangefunga midomo wasitongoze vibinti vya watu vikiwa bado innocent.

Wajiulize - mbona hawawaachi mabinti wakue hadi wapate akili ya kuelewa uongo wa wanaume? Ingekuwa hivyo mbona kila mwanamke angeolewa nayo!
 
The more experience one have about sex before marriage the more he/she endanger his/her marriage. God is not crazy to put virginity in women nor is He mud to bun pre marital sexual relationships, once the two are not carefully preserved by whoever-male of female, the consequences will be evident when he/she get married. The divorces and marital problems we have these days is because we signed a marital covenant (through allowing sex with some one, hatukuitunza bikra yetu!) with someone else not the life partners we have as a results those covenants troubles our minds such that we feel like going back to renew them and therefore we compromise our present relationships!
My suggestion!
 
hapo kwenye bold..kazi ipo!
Kweli ukisemacho... je hiyo covenant inavunjwa na mwanamke akiwa na shetani au binadamu wa kiume?
Tukubali kuwa dunia imeharibika inahitaji uumbaji upya! Ikibakia na watu walewale.... same men..itakuwa kazi kufuata maagizo haya.
 
Namtafuta Rose na AD kwene hi thread manake hawa wapendwa ni msaada mkubwa kwene, ujinga kama huu.
 
Aisee, Nyie wanaume nyie, hivi mnajijua kama ninyi ni viumbe wa ajabu sana. Unamdanganya dada wa watu kwa ulaghai mkubwa, unamtoa bikira, tena unaweza hata ukamzalisha, halafu unamuacha bila hata huruma, hilo hamlioni wala hamlifikirii.

Sawa bikra ni heshima, lakini kabla hamjafikia kumwita mtu Malaya, jifikirie na mjifikirie ni mara ngapi mmewaharibu mabinti wa watu. Na hata kama hujamkuta bikra kwa nini ulitembea na binti wa mwenzio.

Ngoja niache kuandika manake naona hasira ndo zinaandika hapa.

But you men ningekuwa na uwezo, ningewahamishia kwene sayari nyingine mtoke huku kwene sayari hii.

Na nyie mnaoendelea kuharibu, kujeruhi mabinti. MSHINDWE. Na ujue kiasi kile kile unavyoharibu watoto wa wenzio ndo hivo hivo na wa kwako watakuja/wataharibiwa.

Nisameheni manake nimejikuta, napata hasira tu gafla.

LD mie nimeshikwa na hasira mpaka nikakasirka vibaya sana huyu sijui kawaza nini??
Mie na Lizzy tumejiondokea zetu usiendelee na huyu mtu atakuharibia siku yako bure
wewe twende kule kwenye thread nyingine hii upuuzi mtupu
 
Namtafuta Rose na AD kwene hi thread manake hawa wapendwa ni msaada mkubwa kwene, ujinga kama huu.

Hawajaamka hawa bado si unajua wanaishi bara la ulaya??? Kwao saa hizi ni usiku wa manane
 
LD mie nimeshikwa na hasira mpaka nikakasirka vibaya sana huyu sijui kawaza nini??
Mie na Lizzy tumejiondokea zetu usiendelee na huyu mtu atakuharibia siku yako bure
wewe twende kule kwenye thread nyingine hii upuuzi mtupu

punguza hasira mama!
habari lako lakini?
 
LD mie nimeshikwa na hasira mpaka nikakasirka vibaya sana huyu sijui kawaza nini??
Mie na Lizzy tumejiondokea zetu usiendelee na huyu mtu atakuharibia siku yako bure
wewe twende kule kwenye thread nyingine hii upuuzi mtupu

Kweli Dena, hu ushauri nauzingatia, manake ntakujikuta Ijumaa inakuwa mbaya hivi hivi. Mzima lkn dada.
 
dah,..... hii mada hii!!!

Wakuu mie sijui nina matatizo au vipi??

Kwanz kabisa a virgin woman kwangu mimi is not the best, i have had two bad experience when i was naive...

Pili naamini kabisa kila mtu ana past yake na maranyingi ni vyema iwe public only to a certain limit; in fact i dont expect a depper truth from any woman, wengi watakwambia i had this one or that one... AND THEY USUALLY CHOOSE A FEW WHO THEY CAN FEEL PROUD not other wasiona na mbele wala nyuma

it is the same for us men; hatuwezi kusema nyumbani kwambani nilipokua A-level tulikua tunanyatia wale wamama wauza ndizi au wale wadada wanaochota maji kwenye kisima karibu na shule wakati wa kuvuna mahindi....

to me, teh best woman is the one with experience and the best relationship is when we both know why we are together... I AM GLAD I DIDNT MARRY A VIRGIN WOMAN.... i had enough experience when a boy
 
masuali ni mengi halaf yote nimeyasahau baada ya kuangalia avatar yako. dah! sisi wengine ni mayatima mtuonee huluma jamani.

Ukiacha huo ujeuri wako na maneno yako hayo,utapata mke mzuri Klorokwini,uyatima si kilema ila attitude na maneno ya kinywa chako yatakunyima mengi.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom