Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

Umeona eeeeh Shosti,wazito sana hawa viumbe..........waga mna visingizio vingi sana na hamna mioyo ya kuridhika,ndo maana daima mnatangatanga, kila siku ungekuwa hivi,ingekuwa vile,kule kwenye kutumwaga wametoa tena sababu lukuki............i mean, get a life, let us be!! tungewaangalia nyie hayo mngeoa in the first place?

haya bana!
 
Katika siku zote ulizowahi kuniudhi leo umepita kipimo!!> Eti malaya kisa hana bikira?? Huyo mwanamke uliyenaye ulikuta ana bikira?? Nasikia hata kisirani kuchangia ngoja nikuache tu UMENIUDHI SANA LEO

Twambie kwa mtazamo wako malaya ni nani???. Hata hivyo soma vizuri naona hujaelewa. halafu huna haja ya kukazsirika, tatizo ni kizazi kilicho potoka.
 
mkuu,
haya mambo ya bikira katika ulimwengu wa leo ni mambo ya kiutamaduni.
katka jamii nyengine kama umefikia umri wa kuoa au kuolewa na ukiwa bado "bikra" wanakushangaa...wanakuona wewe mshamba kweli! yaani umeishi miaka yote hiyo bila kuzijaribu zana za kazi kama zinafanya kazi au la!

lakini katika mambo ya dini na tamaduni nyengine bikira ya kike huonekana kama ishara ya uaminifu, upya kwa hiyo kwa wale wanaofuta haya pia wana haki yao.

lakini utandawazi wa dunia unayabadilisha haya kwa kasi....umalaya katika nchi nyengine ni biashara halali ambayo unatakiwa kukata leseni na kulipia kodi.

Tembea uyaone, mkuu!

Acha kujitetea, nafsi yako najua inakusuta, na unajua ukweli.
 
Twambie kwa mtazamo wako malaya ni nani???. Hata hivyo soma vizuri naona hujaelewa. halafu huna haja ya kukazsirika, tatizo ni kizazi kilicho potoka.

Mwanamtama juzi alisema hawa watoto wa sep, oct, nov, dec kazi ipo. Hebu nikuulize umeshawhi pata msichana bikra wewe??
 
Mwanamtama juzi alisema hawa watoto wa sep, oct, nov, dec kazi ipo. Hebu nikuulize umeshawhi pata msichana bikra wewe??

Usijitetea, toa hoja za msingi zinazo jenga jamii. hizo oct, sep , hazita saidia hapa. eleza mawazo yako. mvi sio hekima.
 
mpaka sasa wapo wanne, dena amsi,shosti, preta na michelle obama. mimi nafanya sensa ya watakaokasirika halafu na konekt ze dots kabla kuread between ze lines. zats wat wi kol greti siinking

senk yu in advans levo......mi namalizia kuunganisha doti za mwisho mwisho naona hili tatizo liwe janga la kitaifa ze geloz tuu kwikli seks seks pipo
 
Katika siku zote ulizowahi kuniudhi leo umepita kipimo!!> Eti malaya kisa hana bikira?? Huyo mwanamke uliyenaye ulikuta ana bikira?? Nasikia hata kisirani kuchangia ngoja nikuache tu UMENIUDHI SANA LEO
I second that!Yani mwenyewe nilipita kimya maana niliona nikiongea ntajikuta nimeropoka bure!!Sijui kafikiria nini!
 
senk yu in advans levo......mi namalizia kuunganisha doti za mwisho mwisho naona hili tatizo liwe janga la kitaifa ze geloz tuu kwikli seks seks pipo
ili kuonesha msisitizo na umuhimu wa hii sredi acha nikamgongee senksi mleta sredi.
 
I second that!Yani mwenyewe nilipita kimya maana niliona nikiongea ntajikuta nimeropoka bure!!Sijui kafikiria nini!

Karibu Lizzy. Pole tunakuboa. lakini hii ndio team ya leo. kaza buti.
 
haya bana!

Mada nyingine jamani,unakuta li-mtu limebikiri wanawake hata 100,lilivyo jinga na unrealistic linategemea kukuta wake akiwa bikira,umezaliwa mwanaume mwenyewe duniani?umesahau mtenda hutendwa?bullshit..................the world does not revolve around you!:Cry::Cry::Cry:
 
Back
Top Bottom