Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
1. Ukiolewa bila bikra ujue mwenzia anakuchukulia ulikuwa malaya, kubali usikubali may be hiyo bikra alitoa yeye la sivyo ULIKUWA MALAYA.

KWA HISANI YA (JINO KWA JINO)..

2. Tunajalibu kulejesha heshima ya bikira kwa gharama zote. Ikibidi basi tutamuomba inviziibo aanzishe jukwaa spesheli la kuhamasisha hii kitu. By klorokwini.
 
Dada preta, mbona mkali kiasi hiki. Nilidhani utachangia something hapa. Kwani kunatatizo gani mtu kuleta hoja kama hii. Nasubiri maoni yako.

unajua....kinachonifanya nisielewe ni kwamba....kwa nini kila siku mwanamke ndio mwenye makosa siku zote...mtoto wa kiume ni ruksa kuchovyachovya hovyo lakini swala likija kwa wa kike kosa....je kama msichana alikuwa anajitunza bahati mbaya akabakwa....na yeye alikuwa malaya?...coz si wasichana wote wasio na bikira walipenda
 
jiulize kwanini mungu alukuumba na hiyo alama. Aliiqweka makusudi kama ishara ya uaminifu. Kama wanawak wote ni bikira automatically hata wanaume nao ni bikira. Lakini cha msingi hapa hatuna maana ya kuwasuta wanawake bali nii kukumbushana umuhimu wa hivi vitu vya kale vyenye heshima na thamani.

Hilo la kubakwa usisingizie kwani ni sehemu ndogo sana ukilinganisha na wale wanao onjesha kwa makusudi.
 
Hata wanaume wameumbwa na alama ya ubikra kwa taarifa yako.
Unadhani wanawake nao hawataki kulewa na wanaume bikra? Uaminifu wako wewe haupaswi kuwa nje bali ndani ya moyo wako. Unajua hasa unachokifanya nyuma ya mgongo wa mwenzio.
 
Asante kwa kunielewa, tunacho hitaji hapa ni usawa pande zote. Wanaume kwa wanawake na siyo kupinga ati hizi ni zama za kale. Umuhimu wa kuwa bikira utaujua pale utakapo ulewa au oa na mwenzi bikra na wewe siyo bikra. Hapo penye nyekundu ndio muhimu zaidi. Unajua ungu aliumba nafsi ambayo huwezi kuidanganya , ni lazima itakushtaki.

Mke kama ni bikra lazima atauliza, na ukidanganya utasutwa maisha yako yote. kwa hiyo utakuta haya mambo ni muhimu sana tuyazingatie badala ya kujifurahsisha na nadhalia sza uongo zilizo zagaa kila kona kuwa unakuwa mshamba kama hujaonjesha au ojna kabla ya ndoa. kumbe unajitengenezea kajihanamu fulani.
 
Ama kweli mumeishiwa na mada.

Mwanakijiji upo?

Binti mkongwe, sidhani kama upo sahihi. Ulitaka nilete maada "" namtamani dada angu, au mkwe wangu, au??. Mbona tunayakimbia mambo ya msingi na kuyangangania yasiyo zaa na yenye uharibifu. karibu tena bitimkongwe.
 
na ukinioa nayo unaniona mshamba au mvuto nehi hamna wema nyie wala hambebeki.

Huo ni mtazamo wako, lakini sidani kama kuna mwanaume ambaye anaweza sema kitu kama hicho zaidi ya kukupa tuzo ya kujitunza.
 
attachment.php

ukiolewa bila bikra ujue mwenzia anakuchukulia ulikuwa malaya, kubali usikubali may be hiyo bikra alitoa yeye la sivyo ULIKUWA MALAYA.

KWA HISANI YA (JINO KWA JINO).

Katika siku zote ulizowahi kuniudhi leo umepita kipimo!!> Eti malaya kisa hana bikira?? Huyo mwanamke uliyenaye ulikuta ana bikira?? Nasikia hata kisirani kuchangia ngoja nikuache tu UMENIUDHI SANA LEO
 
mkuu,
haya mambo ya bikira katika ulimwengu wa leo ni mambo ya kiutamaduni.
katka jamii nyengine kama umefikia umri wa kuoa au kuolewa na ukiwa bado "bikra" wanakushangaa...wanakuona wewe mshamba kweli! yaani umeishi miaka yote hiyo bila kuzijaribu zana za kazi kama zinafanya kazi au la!

lakini katika mambo ya dini na tamaduni nyengine bikira ya kike huonekana kama ishara ya uaminifu, upya kwa hiyo kwa wale wanaofuta haya pia wana haki yao.

lakini utandawazi wa dunia unayabadilisha haya kwa kasi....umalaya katika nchi nyengine ni biashara halali ambayo unatakiwa kukata leseni na kulipia kodi.

Tembea uyaone, mkuu!
 
na ukinioa nayo unaniona mshamba au mvuto nehi hamna wema nyie wala hambebeki.

Umeona eeeeh Shosti,wazito sana hawa viumbe..........waga mna visingizio vingi sana na hamna mioyo ya kuridhika,ndo maana daima mnatangatanga, kila siku ungekuwa hivi,ingekuwa vile,kule kwenye kutumwaga wametoa tena sababu lukuki............i mean, get a life, let us be!! tungewaangalia nyie hayo mngeoa in the first place?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom