Ukimya wa Werema unamaanisha nini

mawazoyangu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
324
65
Ni wiki chache zimepita tangu huyu bwana awe anaongoza kwenye vichwa vya habari vya magazeti. Nakumbuka alisema kuwa hauna haja ya katiba mpya, na dowans lazima walipwe.
Mkuu wa kaya alivyosema kuwa katiba mpya ni lazima akafyata mkia. Ni aibu kwake. Kwa nini asitokee hadharani na kusema kuwa anajiuzulu? kilichokuwa kinampa nguvu ya kuongea ule upuuzi ni kwa kuwa mkuu wa kaya alikaa kimya kwa muda mrefu. alikuwa anajikomba ili aonekane yupo upande wa mafisadi kwa kuwatetea
 
Si alisema katika hoja ya katiba amekuwa mwanafunzi wa mwisho darasani? Labda kadisco
 
Anaona haaaya kafanywa vibaaaya.....Werema a.k.a kilema wa kichwa!
 
Back
Top Bottom