Ukimya wa Mwingira, Mzee wa Upako, Kakobe, Mtikila kwenye Sakata la Gwajima

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,822
494
Nashangazwa sana na ukimya wanaoyonyesha wakuu hawa ambayo madhehebu yao yanaongoza kwa kuwa na waumini wengi hasa Dar es Salaam, kuhusu suala la mwenzao Josephat Gwajima, wananchi tulio wengi hatuelewi kinachoendelea hapo zaidi ya kusikia mara nyumba yake imezingirlwa na Polisi!

Mara kahojiwa kwa saa tano, lakini tatizo lake nini kumtukana Pengo lakini pengo mbona alishamsamehe, na kama anayokesi ya kujibu si mumpereke mahakamani, watumishi wa Mungu hebu tuambieni ukweli tatizo nini hapo; Mwingira, Kakobe, Mzee wa Upako.
 
Wakithubutu tu, vikanisa/vikundi vyao vitafutiwa usajili.

Hapo ndipo tunapoona ushiriki wao upo wapi au wanaogopa kweli kufutiwa usajili wao lakini wananchi tunaona nyotanyota tu juu ya huyu jamaa kama ana makosa mpelekeni mahakamani jamani mnapoteza imani kwetu wananchi kwani huwezi utawala milele.
 
hapo ndipo tunapoona ushiriki wao upo wapi au wanaogopa kweli kufutiwa usajili wao lakini wananchi tunaona nyotanyota tu juu ya huyu jamaa kama ana makosa mpelekeni mahakamani jamani mnapoteza imani kwetu wananchi kwani huwezi utawala milele

Unachezea wajasiriadini, kila mmoja anahangaika na kuimarisha kikundi chake ili apate mlo (mkate) wake wa kila siku.
 
Nashangazwa sana na ukimya wanaoyonyesha wakuu hawa ambayo madhehebu yao yanaongoza kwa kuwa na waumini wengi hasa daresalam, kuhusu suala la mwenzao josephat gwajima, wananchi tulio wengi hatuelewi kinachoendelea hapo zaidi ya kusikia mara nyumba yake imezingirlwa na polisi ! Mara kahojiwa kwa saa tano, lakini tatizo lake nini kumtukana pengo lakini pengo mbona alishamsamehe, na kama anayokesi ya kujibu si mumpereke mahakamani, watumishi wa mungu hebu tuambieni ukweli tatizo nini hapo , mwingira, kakobe, mzee wa upako

Mkuu usichanganye vitu, wacha polisi wafanye kazi yao, sasa unataka wao waingilie kati ni kama nani? Kama Gwajima hana tatizo lolote itafika siku polisi wataachana nae wala hawatahangaika nae. Kwa sasa acha polisi wafanye kazi yao.
 
Wafanye kazi gani mkuu, watanzania hawaelewi tatizo lake nini mkuu kama yuko na kosa brought justice
 
Wafanye kazi gani mkuu, watanzania hawaelewi tatizo lake nini mkuu kama yuko na kosa brought justice

Halafu mkuu, sheria za Tanzania watu wengi hawazisomi, hivi unajua kwamba polisi waiwa wanafanya upelelezi si mahakama wala DPP wenye uwezo wa kuwazuia? Maaana kwa kufanya hivyo wana sabotage upelelezi na ndicho kinachotokea hapa mkuu.
 
Mkuu usichanganye vitu, wacha polisi wafanye kazi yao, sasa unataka wao waingilie kati ni kama nani? Kama Gwajima hana tatizo lolote itafika siku polisi wataachana nae wala hawatahangaika nae. Kwa sasa acha polisi wafanye kazi yao.

Kazi gani wafanye hawa polisi? Waliambiwa waseme vifungu vya sheria wao wanatumia mabavu.
 
Kama zpengo alishasamehe ilitakiwa waachane nae...sasa nini tatizo?aliwatukana?ama tatizo mali?lkn alishawaambia chanzo cha utajiri,haileweki ndio maana nikasema zoezi hilo lipite nyumba kwa nyumba pia kwa mafisadi wote wa kuanzia richmond hadi escrow
 
Kazi yetu kubwa ni kuharibu kazi za ibilisi na kuujenga ufalme wa Mungu. mbinu za ibilisi kubadilisha attention yetu hazitafanikiwa. Wewe beba msalaba wako mfuate Yesu.

Kwa kila jaribu huwa kuna mlang wa kutokea.
 
Hili limeshakua janga la Gwajima na kanisa lake tumuombee tu hakuna la zaidi
 
Nashangazwa sana na ukimya wanaoyonyesha wakuu hawa ambayo madhehebu yao yanaongoza kwa kuwa na waumini wengi hasa daresalam, kuhusu suala la mwenzao josephat gwajima, wananchi tulio wengi hatuelewi kinachoendelea hapo zaidi ya kusikia mara nyumba yake imezingirlwa na polisi ! Mara kahojiwa kwa saa tano, lakini tatizo lake nini kumtukana pengo lakini pengo mbona alishamsamehe, na kama anayokesi ya kujibu si mumpereke mahakamani, watumishi wa mungu hebu tuambieni ukweli tatizo nini hapo , mwingira, kakobe, mzee wa upako

Huyu tatizo ni mlopokaji.
 
Tatizo Mch Gwajima hakupima ukubwa wa taasisi ya kikatoriki nchini. Mkumbuke mzee wa wapigwe tu ni mkristu mkatoriki. Njia pekee inayoweza kumnusuru Mch Gwajima ni kuomba msamaha. Yaani amtafute Askof Pengo wayaongee na amuombe msamaha ili mzee wa wapigwe tu aone kweli Gwajima kasalimu. Otherwise hii issue haiwezi kuisha hivi hivi. Hata kwa kawaida tu Mch Gwajima alipotoka na watu wengi kawa disappoint sana kutoa matusi ya hivyo ukiwa madhabahuni tena kwa kujigamba. Pengo hakukosea, kwani kama makanisa/misikiti wataanza kuwaamria watu juu ya wapige kura aina gani kuna hatari taifa likagawanyika ktk misingi ya dini. Hichi ni kitu cha kukemea kwa nguvu, waache wananchi wawe na uhuru wa kuamua wenyewe na si kuwaamuria. Maaskofu wote walioshiriki kutoa tamko uelewa wao ni mdogo na hawana uvumilivu wa maridhiano. Mimi ni mkristu na napinga mahakama ya kadhi ila si askofu aniamurie nipige kura ya hapana.
 
Kama zpengo alishasamehe ilitakiwa waachane nae...sasa nini tatizo?aliwatukana?ama tatizo mali?lkn alishawaambia chanzo cha utajiri,haileweki ndio maana nikasema zoezi hilo lipite nyumba kwa nyumba pia kwa mafisadi wote wa kuanzia richmond hadi escrow

Hamna kusamehe sheria ichukue mkondo wake.
 
Kwani kaulizwa kwanini kamtukana pengo? Kwanza alisema haogopi polisi, mahakama, wala bunge, pia alisema ugonjwa wa dengu haupo, akasema sana ishu ya escor, badala ya kuhubiri neno la mungu anawasema wanasiasa madactari wasanii manayake nini sasa, huyo mwache aonje joto ya jiwe
 
Hiyo inaitwa kufa kufaana kwanza hao watatu walishawahi kuwa na bifu za kipuuzi kisa ni majigambo ya nani mwenye waumini wengi zaidi pesa nyingi zaidi na umaarufu zaidi, walishawahi kupondeana sana tu
 
Back
Top Bottom