bandubandu
Senior Member
- Dec 19, 2010
- 102
- 28
Kusema kweli ndg zangu wana jf leo nami nimeshindwa kuvumilia kuhusu hili la mgao wa umeme,maana naona mkuu wa nchi this time ameamua kunyamaza kimya na hatuoni tena yale makeke au mbwembwe zile za mwaka 2005 alipoingia madarakani na hatua za dharura kutuokoa ktk mgao mkali wa umeme mwaka huo,au madudu yale waliyoyafanya kwenye issue ya rich wa monduli na dowans ndio inaweza kuwa sababu kuu?hapa ndipo unapoweza kuuona unafiki wa viongozi wetu,mara zote wamekuwa ni watu ambao wanatudanganya lkn linapokuja t