Ukimwi waelekea kujisalimisha

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
wadau
Hili gonjwa lilikuja kwa makeke kibao.lakini sasa laelekea kusalimu amri
baadhi ya madhara na mambo yaliyowapata waathirika miaka hiyo ni

  • kunyonyoka nywele au au kuwa na nywewe kama zenye kali kiti
  • Kukonda sana
  • kunyanyapiliwa
Lakini miaka hii dunia inaelekea kulishinda gonjwa hili sasa watu wameelimishwa UKIMWI ni kama mafua tu. ARV zipo,Hakuna kukndeanakama zamani.

Kilichobaki kondom zitakosa soko.
 
Binafsi nafurahi kuona hatua zinachukuliwa kuutokomeza UKIMWI haadi hivi sasa mwenye nao na asiyenao wote wanakuwa sawa. Tatizo ni baadhi ya waathirika kuwaambukiza watu wasio na hatia kwa makusudi kwa kuwa wanakosa tofauti na wale ambao hawana UKIMWI eti tufe wengi. Ukimwi hauna macho hivyo binafsi nitafurahi siku ikipatikana chanjo ya ukimwi maana itawaokoa wengi wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom